Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Haya hayaaaaa ngoja niondoke mie nisijeambiwa nimetumbua mijicho hadi mtu akasita kutoa Le Tamkoz u know.....
Hahahaaaa

hahaaaaa!!! Mdakuzi mbona tamko alishatoa kumbe hukuona?
 
Last edited by a moderator:
Aliniambia nimtafute mpenzi basi tu uvivu wangu....naogopa akiniona atazimia u know....
Wabebez wakarez kama sisi sio wa kuonekana hovyohovyo u know...
Hahahaaaaa[/QUOT

weraaaa weraaaaaaa
 
wapi huko tenaaa? jamani habari njema hii, duuu km nakuona upo juu ya ule mfua hahaaaaag!!h shemejiiiii

Kuna siku nilikuita haukuja ndio maana sihangaiki tena na wewe...
Poleeee
 
wapi huko tenaaa? jamani habari njema hii, duuu km nakuona upo juu ya ule mfua hahaaaaag!!h shemejiiiii

Hahahaaaa kile kifua ndio kizuri u know...unatulia bila wasiwasi u know....
 
Kuna siku nilikuita haukuja ndio maana sihangaiki tena na wewe...
Poleeee

jamani pc ilianguka ikaharibika ctaitengeneza now natumia cmu hata coni notification dear, nisamehe bure
 
jamani pc ilianguka ikaharibika ctaitengeneza now natumia cmu hata coni notification dear, nisamehe bure

Jamani pole mwaya mwenzio nishazoea simu nakua comfortable zaidi
 
Back
Top Bottom