Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwa kweli katika hili alinishangaza sana!!Kwa kweli Kiba katika swala la kutumia fursa vizuri hayumo kabisa,inabidi abadilike aisee!!Y hakufanya collabo hata na twoface!!

Tusilaumu sana,yaliyopita si ndwele maana hata sisi enzi hizo tuliona poa tu lakini sasa ndio tunashtuka...nadhani pia yeye keshajua alikosea wapi,let's wait
 
Kwa kweli katika hili alinishangaza sana!!Kwa kweli Kiba katika swala la kutumia fursa vizuri hayumo kabisa,inabidi abadilike aisee!!Y hakufanya collabo hata na twoface!!

yaani yupoyupo tu na ashukuru ana kipaji, ila inatakiwa atambue kuwa kipaji pekee hakitoshi so juhudi inahitajika tena sanaa, tatizo anaridhika mno utadhani 20%, inatakiwa achangamke sasa
 
Kabisa aliuambia ulimwengu amerudi!!na sisi tukajisikia faraja sanaa baada ya kuterekezwa kwa muda mrefu,sasa afanye muziki kama biashara na kazi halisi,sio maswala ya uzembe na kusinzia!!Sisi penda yeye sana!!
 
Naona umelewa maneno ya haters kwenye ule uzi sasa....taratiiibu unataka kuungana nao nadhani hilo hujalitambua
Ni mara ngapi Mdakuzi na MuuzaSura wamesema hapa kuhusu project za Kiba?
Keep calm and waiting mama
 
Last edited by a moderator:
Kabisa aliuambia ulimwengu amerudi!!na sisi tukajisikia faraja sanaa baada ya kuterekezwa kwa muda mrefu,sasa afanye muziki kama biashara na kazi halisi,sio maswala ya uzembe na kusinzia!!Sisi penda yeye sana!!

and i will always do, sasa iwe kazi kwa kwenda mbele
 
Matola nayeee!!jana alipropose ujueee!!sasa hao wotee haa!!nifah mbona hapo kwa Mdakuzi pamekugusaaa!!

Nope,naona (ni kweli pia).Kwa nini ang'ang'aniwe yeye tuu jamani?
Okey then,ngoja nikae kimya sasa....
Niwache movie iendelee
 
Jamani leo kabla hamjalala natoa nafasi hii kila mtu adedicate kwa mtu yeyote wimbo wa King umburudishe usiku huu...Naanza na 'single boy' uende kwa atoto...nafasi ya upendeleo najipa naomba mapenzi yanarun dunia uende kwa Honey faith!
 
Mhhhh nimekumbuka...hivi Diva na Matola wako wapi?leo hajaonekana hata mmoja hapa?
Au nao wana project yao nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom