Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Diamond analipwa awards sasa kutokana na dawa za kulevya alizowasaidia kusafirisha. Awards hazitolewi hivi hivi, kwa nyimbo gani za diamond??? Mdogo mdogo?? That ----!!?

Too LOOOWWWW...!!
 
za Diamond zinapanda ndege,na Ali kiba zinaishia Kipawa!
 
Karibuni tupate chai;

"Ilikua siku ya jana asubuhi nilipoamka, nikajikuta nina furaha isiyo kifani/
Kidogo nilistuka, simu ilipoita/
Nilipokea nikasikia analiaaa/
Akashindwa hata kuongea nikahisi msiba ndo umemfikaa/
Akauliza umelala, oooooh Baby nalia na Mola/
Nishateswa sana na penzi naona vibaya/
Nahisi vibaya naona nakupenda sana/
Oooh Baby ur my everything, my everything/
Kila nachofanya kwa ajili yako, my everything/
Hata kama mimi sina, ur my everything/
Kukupenda kwa sana, ur my everything/....."

Huyu jamaa anajua sana. Hata watengeneze skendo gani, wapate tuzo ngapi, King Kiba ataendelea kuwa mwalimu wao.

cc atoto Mdakuzi Ms.Lincoln geniveros Avemaria Matola na wote niliwasahau.
 
Last edited by a moderator:

guuud morning, Kiba is the best.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaishi wapi? Single tu mavi debe akishuka na album sipati picha.

Kipofu hawezi kuona kamwe, chati zote za redio Bongo Mwana ndio habari ya mujini.

This song is so exotic for me. Tanzania your music is sooooooo beautiful. Argghhh. I wanna be TANZANIAAAAAN. From today I am not Nigerian anymore ....Gotta learn Swahili. ... I have no clue what they are singing but it sounds so sweet to my ears..sounds like ...tangata tanga wani wani, kuni kuni, so cute language by JoStylin
LATOYA FOREVER BROUGHT ME HERE, THE GIRL IS GORGEOUS, SONG IS NICE EVEN THOUGH I DON'T UNDERSTAND THE WORDS. By debbiedelight7
Yes Karen I wish he was a Kenyan we would have accorded him the VIP status he so deserves by dalidzu cheredi
I am a Nigerian based in France and got to know about this talented soul through his featuring with Davido. Though I dont understand swahili which I intend learning soon through my Mayotte girl friend I bet this song is a bomb. I love the chorus so much "Kuchali, cho kali" loool. One love to you Diamond and to all Tanzanian guys and ladies by Debel Ajiboye
Great song.Can't resist no matter how many times I have to listen to it.I guess I should just cross the border from kenya to TZ.Anyway listening to you bruv from UK.Nyimbo "tamu"
I really love this song even though i can't even understand one bit of what he's saying. but that girl though..... is she Mixed or what? she's so damn pretty Masha Allah. Love from a Somali sister by

Huyu jamaa ameshawashitukia baadhi ya Watanzania:
Judging from the comments, some people from TZ are petty and bitter with the success of their fellows. This guy is trying to break into the international market. He has to use ideas that can be accepted by many. How many videos has he done with black ladies? Quite a number!! Let the whole world experience Bongo!! We are starting to love Bongo coz of Diamond. by Clide Otieno

Views 901, 900 in two weeks!
 
Last edited by a moderator:
Woza Friday, another day another dollars.
nifah tangu jana nikipita kwa Le Mutuz a.k.a Le billionare kule Insta kuchungulia umbea nakuta account yake iko plain vipi vijana wameshamfanyia cyber attack? Maana hakuna hata picha ya mbebez mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Karibuni tupate chai;

"Ilikua siku ya jana asubuhi nilipoamka, nikajikuta nina furaha isiyo kifani/
Kidogo nilistuka, simu ilipoita/
Nilipokea nikasikia analiaaa/
Akashindwa hata kuongea nikahisi msiba ndo umemfikaa/
Akauliza umelala, oooooh Baby nalia na Mola/
Nishateswa sana na penzi naona vibaya/
Nahisi vibaya naona nakupenda sana/
Oooh Baby ur my everything, my everything/
Kila nachofanya kwa ajili yako, my everything/
Hata kama mimi sina, ur my everything/
Kukupenda kwa sana, ur my everything/....."

Huyu jamaa anajua sana. Hata watengeneze skendo gani, wapate tuzo ngapi, King Kiba ataendelea kuwa mwalimu wao.

cc atoto Mdakuzi Ms.Lincoln geniveros Avemaria Matola na wote niliwasahau.
Sembo umenikosha sanaaaa!loooh huo wimbo umwendee atoto,jamani nampendajeee!
 
Last edited by a moderator:
Muwe na siku njemaaa....Mfalme atabaki kuwa mfalme na hadhi ya ufalme ni ya heshima sana siku zote!hutaki kanidiscuss matopeni...

ayaaaaaaa!!! hivi kwann huu uking wa kiba unawasumbua watu sana???? ofcoz he is the king and they know it, km hutaki pia hulazimishwi, KING KIBA
 
huna lolote ndo walewale
kiba hashindani na mtu hajaanza kutoa shooting SA kwenye nyimbo hii
mmesema hana hela ya shooting weeee
ndo kajichanga,kakopa still mnaleta majungu
na fitna kakopa,ndio,shoo za masasi zake ht km analipwa mia 2 ndo kaenda kufanya shooting
i never see such kind of people before
yaani kipindi hiki ukitoa audio,video bas unashndana!!
acheni hizo za kisaga sumu
growww upppppp guysssss
na mnaisubiria video tena ndo tujutee wafitini nyie

Hawa ni waswahili sijawahi kuona hata mtu afanye yake eti anashindana maneno Kibao Kiba asifanye kitu eti anashindana nyimbo nzuri alishamaliza kuimba Aache eeh wanachekesha ndio kakopa hela na show za masasi wao inawauma nini hii midude inavijiba vya roho kuliko shetani Ali kiba anafanya mziki kwa faida yake sio mashindano sasa naona wanaumia mpaka basi mapovu yawatoka mtajinyonga mwaka uuh yeye Hana habari raha ya mbio kumalizia eeh
 
Ujinga alioufanya KIBA ambao hatousahau maishani ni kutoka na yule MADAME VIPAJI kimapenzi.

Pale ndo tulishuhudia poromoko lake kimuziki. Dogo alibemendwa.

Upuuzi mwingine ni kujivisha UKING ambao hajaufanyia kazi.

Amekaa kama miaka mi2, anakuja na single moja na UKING juu, kampa nani kwa kazi ipi?

Upuuzi mwingine ni ule uliotokea FIESTA, kuja na genge la wahuni kumzomea, HAPA NAWEZA SEMA WALE MASHABIKI WAKE WALIMPONZA. WAKISHINDWA KUELEWA KWAMBA DIAMOND HATISHIWI NYAU.

UPUUZI WA MWISHO NI FANS WAKE KTK MITANDAO KUMPA SIFA AMBAZO HAZISTAHILI.

MNAANZAJE KUMSHINDANISHA NA DIAMOND.?? GUYZ BE SERIOUS. MUACHENI AJIO ORGANIZE, APANGE MAMBO YAKE TARATIBU BILA PRESSURE ILI AJE NA VITU VYA UHAKIKA. ASISHINDANE KABISA NA DIAMOND , SI LEVEL ZAKE. ATAHARIBU ZAIDI.

Hayakuhusu mambo ya Kiba uking wake unakuhusu nini ndio kabemendwa ulitaka ubemendwe we we naona mnakuja na magazeti zaidi ya Shingongo kisa Kiba eti mnamhurumia haitaji huruma yenu nyie kamwambia domo hayo mambo nyie si wa kumpangia afanye nini hii ni nchi huru mbona hafanyi kwa pressure in short the king is back whether you like it not
 
Ukubwa na ukuaji wa akili. NI PAMOJA NA KUKUBALI USHAURI MZURI UNAOPEWA.

KIBA ALIJIPOTEZA MWENYEWE, NA ALIONGEA SANA KARIBU KTK KILA INTERVIEW KWAMBA ALIKUA AKIMSAIDIA MDOGO WAKE ATOKE, ABDU KIBA.

HUYO ABDU KIBA YUKO WAP? ANAFANYA NIN? HITI ZAKE ZI WAP?

THEREFORE HE WAS BUSY TIME FOR NOTHNG....

SASA AMEREJEA ANATAKA KIMBIA MARATHON WAKAT AMETOKA MBIO ZA MCHANGANI. WHERE ON EARTH.

ADVICE HIM TO KEEP TO HIS PACE.
 
Karibuni tupate chai;

"Ilikua siku ya jana asubuhi nilipoamka, nikajikuta nina furaha isiyo kifani/
Kidogo nilistuka, simu ilipoita/
Nilipokea nikasikia analiaaa/
Akashindwa hata kuongea nikahisi msiba ndo umemfikaa/
Akauliza umelala, oooooh Baby nalia na Mola/
Nishateswa sana na penzi naona vibaya/
Nahisi vibaya naona nakupenda sana/
Oooh Baby ur my everything, my everything/
Kila nachofanya kwa ajili yako, my everything/
Hata kama mimi sina, ur my everything/
Kukupenda kwa sana, ur my everything/....."

Huyu jamaa anajua sana. Hata watengeneze skendo gani, wapate tuzo ngapi, King Kiba ataendelea kuwa mwalimu wao.

cc atoto Mdakuzi Ms.Lincoln geniveros Avemaria Matola na wote niliwasahau.

cc. nifah
 
Last edited by a moderator:
Woza Friday, another day another dollars.
nifah tangu jana nikipita kwa Le Mutuz a.k.a Le billionare kule Insta kuchungulia umbea nakuta account yake iko plain vipi vijana wameshamfanyia cyber attack? Maana hakuna hata picha ya mbebez mmoja.

sasa wewe ulifungua huu uzi kwa ajli ya ali au lemutuz?
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe ulifungua huu uzi kwa ajli ya ali au lemutuz?

Mkuu Matola hivi huyu jamaa ana nini na Le Mutuz? Yaani akiguswa tu lazima aache shughuli zake aende kumtetea, au yeye mkewe?
Ova
 
Last edited by a moderator:
Ukubwa na ukuaji wa akili. NI PAMOJA NA KUKUBALI USHAURI MZURI UNAOPEWA.

KIBA ALIJIPOTEZA MWENYEWE, NA ALIONGEA SANA KARIBU KTK KILA INTERVIEW KWAMBA ALIKUA AKIMSAIDIA MDOGO WAKE ATOKE, ABDU KIBA.

HUYO ABDU KIBA YUKO WAP? ANAFANYA NIN? HITI ZAKE ZI WAP?

THEREFORE HE WAS BUSY TIME FOR NOTHNG....

SASA AMEREJEA ANATAKA KIMBIA MARATHON WAKAT AMETOKA MBIO ZA MCHANGANI. WHERE ON EARTH.

ADVICE HIM TO KEEP TO HIS PACE.

Abdu kiba yupo aggrey kariakoo anauza simu used
 
Back
Top Bottom