Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina gumuuDirector wa mwana dsm
Morning!!natumai leo itakua bora zaidi ya jana!!Guess u knw what I mean baby!!
guuuuud morning dear,ofcoz kila cku ni bora, how are you?
guuuuud morning dear,ofcoz kila cku ni bora, how are you?
Le movie project mama!!Thanks to nanilia...
Am good dear katotoo!
mambo vipi dear, kababy anasemaje?
baby hajambo anapiga misele huko mwingine leo anagraduate nursery najiandaa kwenda
jamani tishert zile za kibaaaaas ama asking pleaseee i neer them
Mchana niliwapa taarifa kuhusu hii wakati nimenasa kwenye foleni.
Sasa ndio kusema hujui kama miili inahitaji kureflesh mind?
Na hivi box lady Zari kashatupa tips muhimu how to satisfy ladies in slow motion mbona raha!!
ofcoz it iz, and we are his greatest fans, hao mura wanasemaje? i miss ritungu n rirandi(cjui nimepatia)?
wapendwa lunch time sasa au mnapiga pasi ndefuuuuuuuuuuuu?
wapendwa lunch time sasa au mnapiga pasi ndefuuuuuuuuuuuu?
si unajua tena unga robo......hapa stori kula kwenuuuuuuuuuuuuuuu!Ndio time zenyewe hizi....hahahaa eti pasi ndefu
ha ha ha haaaaa!Nielekeze nije tupge iyo pasi fupi😎