Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Already voted for happy...masaa machache yame bakia....piga kura kwa binti wa kitanzania tuweze kumaliza mwaka vizuri kwenye tasnia ya burudani ni zamu ya happy sasa.
 

Attachments

  • 1418545832095.jpg
    1418545832095.jpg
    48.4 KB · Views: 61
  • 1418545856667.jpg
    1418545856667.jpg
    37.7 KB · Views: 56
Sawa babu chinga.Ila kwani huwezi kusema tumpigie kura bila kuongeza kama.......
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah London sio ya kuiga. ..kuweni
Makini wasanii sana jamani..sio imradi na nyie muonekane tu mmepanda ndege..
Victoria kimani kafanya show juzi London
Kwenye kaukumbi kadogo na kama sijakosea
Watu 10 kama sikosei ndo walienda
Haya tena mdogo wake Ali Kiba naye jana
Kafanya show London kapata watu 20 kama sikosei ni pungufu.
 
Haya baada ya show ya Victoria kimani kupata watu kumi last week promoter huyo huyo tena kamleta mdogo wake Ali Kiba jana London ku perfom kwenye kiukumbi hicho hicho na jana wakaudhuria kama sio watu 10 basi 20..Jamani wasanii mtajifunza lini..
kweli ulaya tamu. .maana promoter huyo huyo ndo tena anawaleta tena Ali Kiba na Mwana fa tena kwenye kaukumbi hako hako tena ..
hahahahha..Nimeamini ulaya nyoko. .wasanii wanakubali tu maskini bila ku fanya utafiti wa kina
 
Kuna haja ya kufungua thread mbili kuongelea jambo moja!!Sasa unawacheka au unawasikitikia!?
 
Back
Top Bottom