Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Hahahahahah London sio ya kuiga. ..kuweni
Makini wasanii sana jamani..sio imradi na nyie muonekane tu mmepanda ndege..
Victoria kimani kafanya show juzi London
Kwenye kaukumbi kadogo na kama sijakosea
Watu 10 kama sikosei ndo walienda
Haya tena mdogo wake Ali Kiba naye jana
Kafanya show London kapata watu 20 kama sikosei ni pungufu.
Sasa cha kucheka ni kitu gani hapo?
Wamethubutu kuna wengine hata hawajawahi kujaribu kufanya show huko London,
Kwa ufupi haya ni maendeleo yameanza kwa wasanii wetu ila kwa akili fupi utaona haina maana kumbuka wasanii unao ona leo wanavuma walianza hivyo hivyo.