Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahahah London sio ya kuiga. ..kuweni
Makini wasanii sana jamani..sio imradi na nyie muonekane tu mmepanda ndege..
Victoria kimani kafanya show juzi London
Kwenye kaukumbi kadogo na kama sijakosea
Watu 10 kama sikosei ndo walienda
Haya tena mdogo wake Ali Kiba naye jana
Kafanya show London kapata watu 20 kama sikosei ni pungufu.

Sasa cha kucheka ni kitu gani hapo?
Wamethubutu kuna wengine hata hawajawahi kujaribu kufanya show huko London,
Kwa ufupi haya ni maendeleo yameanza kwa wasanii wetu ila kwa akili fupi utaona haina maana kumbuka wasanii unao ona leo wanavuma walianza hivyo hivyo.
 
Its all about money
Kama wanalipwa walichokubaliana tatizo lako nini?
 
Huyu promoter si ndo huyu victor
TAPELI wa Birmingham. .huyu si ndo aliyemtapeli Diamond juzi kati?
 
Hahahahahah London sio ya kuiga. ..kuweni
Makini wasanii sana jamani..sio imradi na nyie muonekane tu mmepanda ndege..
Victoria kimani kafanya show juzi London
Kwenye kaukumbi kadogo na kama sijakosea
Watu 10 kama sikosei ndo walienda
Haya tena mdogo wake Ali Kiba naye jana
Kafanya show London kapata watu 20 kama sikosei ni pungufu.

Mbna wote wakija huko wanafanya show sebuleni kuanzia domo n wengineo hilo linajulikana
 
Prezzoo na akina Fidel Odinga,Shaffie Weru,Maina Kageni walimleta kenya James Blunt aje kuimba kwenye birthday ile nyimbo yake maarufu ya Your beautful

Itakuwa Kiba na huyo Kimani!!!!
 
Haya baada ya show ya Victoria kimani kupata watu kumi last week promoter huyo huyo tena kamleta mdogo wake Ali Kiba jana London ku perfom kwenye kiukumbi hicho hicho na jana wakaudhuria kama sio watu 10 basi 20..Jamani wasanii mtajifunza lini..
kweli ulaya tamu. .maana promoter huyo huyo ndo tena anawaleta tena Ali Kiba na Mwana fa tena kwenye kaukumbi hako hako tena ..
hahahahha..Nimeamini ulaya nyoko. .wasanii wanakubali tu maskini bila ku fanya utafiti wa kina

Wanafanya show hawatangazii katika media? Mimi sijawahi kusikia kuna show London, labda aje diamond au shekh nyundo.
 
Hahahahahah London sio ya kuiga. ..kuweni
Makini wasanii sana jamani..sio imradi na nyie muonekane tu mmepanda ndege..
Victoria kimani kafanya show juzi London
Kwenye kaukumbi kadogo na kama sijakosea
Watu 10 kama sikosei ndo walienda
Haya tena mdogo wake Ali Kiba naye jana
Kafanya show London kapata watu 20 kama sikosei ni pungufu.

Thread imeenda tofauti na ulivyotarajia pole kwa roho yako mbaya kabla ya kuwasapoti unacheka mweeh na ukafungua thread ukitegemea tutakusapoti kucheka au?
 
Thread imeenda tofauti na ulivyotarajia pole kwa roho yako mbaya kabla ya kuwasapoti unacheka mweeh na ukafungua thread ukitegemea tutakusapoti kucheka au?

Bangi za ukubwani + stress za uzeeni = Winnie227
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa.....MFITINI kala kona. Alijua watu hawana akili nin?. Hii ndio JF bhana,ukizingua unapewa za uso.
 
Acha zako ningekua na namba zako ningekutumia video uone jinc Abdu alivyokimbza
Alafu ile club ni kubwa Tu acha majungu
 
Mariah Carey alishatumbuiza kwa Ghadafih tena sebuleni usiku kucha shida kujaza ukumbi au kupata mkwanja.Diamond alishapiga show Bday ya mengi washiriki kama 8 hivi teh teh teh usiseme nimekadiria?:confused2::confused2:
 
Back
Top Bottom