Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nendeni Instagram then follow Teamkiba4life apo mutakutana na teaser ya video ya mwanadsm
 
nawamiss sana nimetingwa nna harusi ya sister jamani miss u sana
 
nawamiss sana nimetingwa nna harusi ya sister jamani miss u sana

Adoado msitafute misifa kuwafurahisha waswahili gharama kubwa baada ya harusi mnawaacha wanandoa na ufukara usiohata na kipimo.

Nimeyaona haya kwa mtu wangu mmoja, leo anayakumbuka yale mamilioni aliyoyateketeza kwa usiku mmoja amebaki na madeni tu na account haina hata mia na hata penzi lao limeshachuja, maana kutoka kwenye wedding ya kifahari halafu mnaanza maisha ya msoto demu lazima achanganyikiwe.
 
Hahahaaaa,zile kauli za hana pesa ya kutoa video eeh?wewe waache tu....nina hamuje nao?

Yeah kauli kama hizo na zinazofanana na hizo hasa hasa wale wanafiki wanaojifanyaga wanawapenda wote huku wanampondea Kiba in the name of kukosoa. geniveros kuna siku alinikomeshea aisee alimchana mmoja wao live . Nilipenda alivyomkomesha!
 
Last edited by a moderator:
King Kiba sio masikini kwenye kuandika. Kila wimbo uhusika wa kivyake kabisa. Kiba ana kipaji kikubwa sana ndio maana namwelewa. Huwezi kufananisha melody wala msitari wowote toka kwenye wimbo huu hadi kwenda wimbo mwingine.
Ova

ofcoz anajua sana, management na washauri(wa karibu) tu ndio wanamuangusha, otherwise yaani now tungekuwa tunaongelea anga nyingine kabisaaa, na walaaa watu wasingethubutu kujilingalisha nae(japo hata sasa hawampati), kiba is the best of the best
 
Yupo tu anatia huruma,majuzi hapa katumbuiza viti uingereza ye na mdogo wake.

Matumbo Wewe ni kati ya wakongwe humu sasa unapopotosha na kuleta ushabiki unafanya warumi aonekane bora humu celebrity forum

Ally alikua na orijino comedy kwenye show ya acccacia kule mgodini bulyanhulu,na hata Abdul atakapoimbia tena viti kama unavyosema hapo tar 20huko mbele,yeye atakua jembe ni jbe mwanza kwenye show ya red cup pamoja na joh makini.

Tar 31 atakua Mombasa na at,shaa,redsun na brick n lace.

Chuki zako zisizo na sababu kwa kiba usiwe sababu ya kudanganya watu humu
 
Huwa unaandika mara chache sana, lakini kila unapoandika unakuwa umeandika haswa. Umetoa Shule ya kutosha kwa huyo mpotoshaji, na aje tu kukushukuru kwa elimu ya bure uliyompa.
Ova
 
Yeah kauli kama hizo na zinazofanana na hizo hasa hasa wale wanafiki wanaojifanyaga wanawapenda wote huku wanampondea Kiba in the name of kukosoa. geniveros kuna siku alinikomeshea aisee alimchana mmoja wao live . Nilipenda alivyomkomesha!

Yeah wanafiki wanazingua sana, hata mimi alinifurahisha sana siku ile. Hiyo ndio dawa yao. Nawasoma sana.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hilo halihitaji GPA kubwa. Plus vile vionjo vya baba qayla!
Singependa Kiba aje aexperience hizi hasara za kufanya mambo kwa pupa!

Uzuri King Kiba hana pupa, si umeona mwenyewe alivyoweza kukaa na ngoma kali kwa miaka miwili bila kufanya pupa za kuziachia?!
Na hizo ngoma zingine alizonazo zilivyo kali, kwa haya makelele wanayopiga vilaza angekuwa na papara angeshaziachia ovyo ovyo hadi zingemalizana zenyewe.
Jamaa anajipanga kama wa mbele aisee, faida za kuandika kwa utulivu ni kutoka na ngoma zinazodumu muda mrefu na zenye ujumbe wa rika zote, na kumfanya awe na fans hadi watu wazima.
Nikiisikiliza Mwana, ujumbe wake naufananisha sana na maisha ya ndugu yangu fulani ambaye ni star (nikimtaja kila mmoja atamjua humu), siku moja nitamtaja na kueleza anavyofanana na kisa cha Mwana.
Ova
 
ofcoz anajua sana, management na washauri(wa karibu) tu ndio wanamuangusha, otherwise yaani now tungekuwa tunaongelea anga nyingine kabisaaa, na walaaa watu wasingethubutu kujilingalisha nae(japo hata sasa hawampati), kiba is the best of the best

King Kiba hana tena tatizo la Management kwa sasa, ndio maana mpaka sasa hakuna mahali kakosea toka aamue kurejea tena kwenye muziki mwezi July mwaka huu.
Kila kitu kinafanyika kwenye ratiba zilizopangwa, alisema video itapigwa November na itatoka December na imekuwa hivyo, na sasa ratiba yake imejaa shows kama alivyosema Deo katika comment yake.
Kwa King Kiba kila kitu sasa ni next level, haina kukurupuka wala kufanya mambo kwa kufuata makelele ya watu wanayotaka kushindana naye. Watamwelewa tu soon.
Ova
 
Back
Top Bottom