Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sawa kama ameishaisha.ni maoni yako na mtazamo wako siwezi kukulazimisha.
Kwangu mimi ni msanii zaidi ya wengine,ananiimbia nyumbani nafurahi mimi nyumbani kwangu tz hata angeenda kuimbia mwezini kama hanishawishi,hanishawishi tu.

Tatizo la mashabiki wa diamon,hampendi kuona mtu anasifia mtu mwingine.

Kuzomewa diamond isikuchanganye,maana ndio ukweli wenyewe kuwa,ukimuweka na kiba hafurukuti.iwe kwenye wimbo au jukwaani,tena clouds msije mkarudia mtaniulia mtu.

kuhusu tuzo subiri usiwe na haraka,ila usije ukadai kingine.

Nasubiri na wala sitakasirika kwamaana tunataka tuonyeshe ulimwengu kwamba Tanzania tunaweza. Kumuachia dimondi na ay pekee kupeperusha bendera si jambo zuri
 
Wanaopata muda wa kufatilia upuuzi wake nje ya mziki wake ni wale ambao hawana kazi za kufanya.

Kiba hameshaisha ila mnakaza tu kutaka akae pale juu.. "Progress" ya kiba sasahivi tungekua tunamsikia anga zingine. Mwangalie mtu kama AY alipo sasa, kiba alitakiwa awe mbele hata ya AY na Diamond.. Au we peak unayoizungumzia ni ipi?? Kiba ana exposure gani nje ya Tanzania?? Ana mafanikio gani?? Ana tuzo gani?? Au mnafikiri ye anataka kushangiliwa fiesta then basi..

Unashangaa mimi kuhoji kutofikia viewers za ndomo?? Huwashangai waliomzomea ndomo fiesta na kumshangilia kiba??

We umeanza kuujua mziki baada ya mfumuko wa Tecno hapa Tz
Kipind kiba anabeba BEFFTA ulikua wapi ?
Kipindi anakua nominated kwenye tuzo kubwa kama Kora ulikua wapi ?

Hata hvyo hapa tunataka uwe kijana anayecmamia kwenye maneno yake ulisema "hyo video ikipata viewers laki moja najiua "
Natamani utimize ahadi yako .
Nashangaa unajipitisha pitisha bila aibu !!
Ningekua mm n ww nicngeingia umu kwa kiba's fans
Hivi uoni aibu na vitabia vyako vya kike ?

AY ni walewale tu ana Nyota ya kinyesi
Watu wakimuona wanatema mate
Na mafanikio yake ayatokan na mziki acha kukariri .
Wimbo wake wa Touch me Una siku 17 tu ila kimya
NB: katika maisha usishindane na mtu wa watu utapata aibu ya karne
Kiba💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟
 
Back
Top Bottom