Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Management ya kiba naona ndo tatizo sidhani kama wanahangaika ktk kuteka soko la nje na pia kiba anatakiwa aishi kistaa, awe mbunifu, abadil style inapobid kwan mziki biashara sio kubak style ile ile sio makumbusho lazima a change kusaka soko, management yake iwe na kiu ya kwenda mbele zaid sio kiu tu bal tuone utendaj wa hyo management, alaf kwa mashabiki hizi team znaua mziki, tunatakiwa kusapot wasanii wote ila wasanii wanaosapotiwa wasilete nyodo washukur mashabik woote sio kuleta vijembe sijui na vishoka sio vizur mziki ni wetu wasanii ni wetu nchi ni ya kwetu tusapoti vya kwetu.

Mkuu Umeeleweka Sana.Naamini King Amekusikia.Naamin Kwa Maoni Yenu Tutapaja Mrejesho Chanya Very Soon Kutoka Kwa Kingkiba(The Greatest)
 

Attachments

  • 1437422748631.jpg
    1437422748631.jpg
    23.5 KB · Views: 66
Wameshaanza kulia lia ooh kapata nomination moja, wamesahau King karudi majuzi tu na balaa lote hili linatokana na ngoma zake 2 tu tofauti na huyo ndomo anayefyatua mpya kila uchwao.
#KishetiChaMombasa vichambo vimemkolea hana jinsi imebidi akimbie tu.
Hawana jema hao kila kitu kwao ni kibaya tu. Na watasanda sana Kiba is back tena kwa nyimbo mbili tu kapata nomination sio mtu wake anatoa nyimbo daily hata hazidumu.
Yani wataumia sana wasiotaka wengine wafanye mziki kwa kujiona yeye ndo yeye.
Halloooooooooooooo ya #kakakisketi unaloo babu hilooooo
 
Back
Top Bottom