Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MTV ndio kitu gani?
Birthday party show ndani jamaa show Ana pata za kulenga
Sasa zinanihusu nini mimi hizo tuzo? Kwani mimi ni msanii/mwanamuziki?MTV mama awards
mkuuu unalazimisha nikukot hapo pameandikwa "independence celebrating party " hiyo birth day niziada soma vizuri halafu utaacha lini umbea ww kedrick kama ni me badilika my friend ohooo
naomba usome vizuri hapa usiniharibie mood asubuhsubuh
Sasa zinanihusu nini mimi hizo tuzo? Kwani mimi ni msanii/mwanamuziki?
Acha hizo bibie Delilah, leo niliamua tu kukuquote....
Kwaheri sina muda wa kupoteza na POPOMA kama wewe.
Hiyo demo kwanini tusiwekewe tu insta au You Tube tukasikilize? Mimi hayo mambo ya kudownload siyapendi basi tu kwa ajili ya King nitafanya.
Poa poa, achana na huyo POPOMA usimjibu tenausijali nifah ni mwanzo tu nyimbo inafuata soon #jipangeni tunaanza kufumua
Maash Allah, Maash Allah!
Naam...huyu ndiye Mdakuzi wangu mimi.
Ni ukweli usio na hata chembe ya shaka na unafiki kua wewe ni Great Thinker wa ukweli.Hii post almanusra inirudishe humu kwa mara nyingine tena.
Nimejifunza mengi kutokana na hii post, kiukweli nilikua sijui kuhusu haya uliyoyaainisha hapa zaidi ya kufurahia quality ya video na ule ubunifu wake.
Ni video ya kipekee ambayo haichoshi, ila baada ya kusoma hapa huwezi amini nilienda tena You Tube na kuicheki tena kwa umakini zaidi, nilijikuta naipenda zaidi na zaidi.
#ChukuaReputationPowerYanguKirohoSafi
#MissYouThough

Hahahaaaaa leo ndio umedhihirisha rangi yako kabisaaa. ..Habari yako nifah?