Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

views=viewers✅
Auu? Nifundishe #dadabeseni mimi shule sijaenda nangoja mchango ila natafuta kampani

Viewers Views ni same ni watazamaji tu kama ww ambaye hopefully umeipa nana views kama 5 hiv. Kwaio mondi yuko perfect kwanza hyo views youtube ndio wanaandika wenyewe
 
Hahahaaaa nifah wew ni mtoto wa wapi? Lol sio kwa vichambo hivyo..
Eti " Linda heshima yako kiduchu iliyobakia mjinga wewe."
Nimecheka sana maana asipolinda hicho alichobakiwa nacho ndio basi tena
Hahahaaaaa cute b bwana!
Kama kawaida yangu mimi namshauri kwa uzuri tu halafu hataki kusikia.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama ili ibaki story tu ya kuvuliwa nguo ila mwenzetu bado anakomaa kuonyesha nyeti zake...
 
Last edited by a moderator:
Bado nyonga nivute.
Ndio unamaanisha nini? Mimi sio teja mwenzio bwana.
Umesahau ile siku uliyokua unaandika pumba nikakushtua ukasema ushapiga vitu vyako a.k.a bhange?
Ndio maana nimekuuliza hivyo.
 
Ndio unamaanisha nini? Mimi sio teja mwenzio bwana.
Umesahau ile siku uliyokua unaandika pumba nikakushtua ukasema ushapiga vitu vyako a.k.a bhange?
Ndio maana nimekuuliza hivyo.

Ata K zingne zilivyotam ad zinalewesha uwez jua nilipiga vitu vyangu nn ckuile. Bangi never.. by the way I was drunk tht day alaf ckuandika pumba yani ww dah. Ilimradi niudhike tu na umekuta niko vzr leo haha. M nacheka tu cjui umekechi
 
Wewe ni mpuuzi, ngoja nikafanye mambo yangu ya maana.
Lazima ucheke tu maana huna hoja, hujiwezi...
Ulitaka moto umekuwakia weeee...
Ndio ukome kuchokoza namba nyingine sizo.
 
Wewe ni mpuuzi, ngoja nikafanye mambo yangu ya maana.
Lazima ucheke tu maana huna hoja, hujiwezi...
Ulitaka moto umekuwakia weeee...
Ndio ukome kuchokoza namba nyingine sizo.

Thank you I feel lke I buy ur time"tangia useme u cnt argue with me thn umepoteza ur precision time lke ths teh teh.
wasalimie once again bana
 
Thank you I feel lke I buy ur time"tangia useme u cnt argue with me thn umepoteza ur precision time lke ths teh teh.
wasalimie once again bana
Nimeamua kurudi ili 'KULINDA HESHIMA' maana kufanyiwa dhihaka na popoma kama wewe nisingeweza kuvumilia kabisa.
Halafu mbona umeshukuru sana nilivyokupumzisha? Sindano nilizokupa leo hutokaa uzisahau choko wewe.
 
Haha mchezaji ww refa ww umeshinda basi duh" povu bwana noma sana. Kapike vitumbua uko
 
Raha sana kumfanya mtu akechi alaf we uko normal tu 😀😀😀
Na alinianza hata mada haimuhusu duh
Ngoja nisepa mana nachafua uzi wa watu bure with ths nonsense conva. .. keep calm
 
Shoga ninachambwaje sasa? Uwiiii...
Naona hivi vichambo ni type ya manzese, tandale, tandika na temeke au mwananyamala huko....
Maana ni balaa!
Nilikua sijui kama [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=dadabeseni]#dadabeseni [/URL] anajua kuchamba hivi, bora tu leo nimejionea na kuanzia sasa 'nitamheshimu' maana sio kwa vichambo hivi!
Vichambo vya kike hivi yani hapo ni kama unabishana na Dada mwenziwe kwa jina #dadabeseni angekua mwanaume#Rijali huwa hana mda mchafu kwa vile yeye ni Dada lazma afanye competition.
 
kuna mtu namuona ana mwisho mbaya baada ya kusema kuwa amechoka kuburuzwa na shetani, dah!!!!!!!
 
Mkuu vipi mzima?,eti mbona najaribu upload attachments za picha lakini inakataa ni kwa nini?...ni kwangu tu au hadi kwako hii?
 
Back
Top Bottom