Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Attachments

  • 1438618461884.jpg
    1438618461884.jpg
    28.6 KB · Views: 174
hii thread inamsaidia vp kiba! Mbona full! Majigambo! Mipasho!
 
Angesubir baada ya uchaguz maana siku hiz tupo bize na loasa na makufur
 
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.

Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.

La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.

warumi nifah geniveros

Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.

-------------

Ufafanuzi juu ya zawadi

Taarifa ya Mshindi

Habari...mkuu matola nashindwa kukuelewa mara moja madhumuni yako kuanzisha thread hii ikiwa naona wazi hutekelezi malengo yake ipasavyo maana huko mwanzo niliquote kwenye comment yangu moja nikakwambia "KUWA SIO KILA VIEWERS WANAOINGIA KWENYE HUU UZI WETU NI JF MEMBERS NA PENGINE HAWAJUI PAKUPATA ILE LINK YA AFRIMMA AWARDS...HIVYO FANYA KURAHISISHA MAMBO HAPO KWA KUONGEZEA HII LINK http://afrimma.com/nominees-2015/ YA AFRIMMA KWENYE POST YAKO HAPO JUU,PIA WEKA NA YA "AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS" then weka na statement ya kuhamasisha kuvote,Pleaz!...do it for the #KINGKIBA .
 
Matola
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom