Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambozzz???
Mwambieni Matola afanye hivo basi.
Halafu nyie pigeni umbea wa kisiasa ila msisahau kuvote
Vote for UKAWA kwanza, huko tumeshamaliza, tuikboe nchi kwanza mengine tutamalizana..
Tukae mkao wa kula, ni #KingKiba ft Ne-Yo
saf!!ila naona mkuu kiba hajafanya fresh kwenda mbali zaid kupiga collabo na neyo wakati bado afrika hajaiteka sana, yasije yakawa ya AY aliefanya collabo na wasanii wakubwa wa nje ila afrika hajajulikana sa hiv yupo kimya!! labda asubiri collabo na davido litoke na liweze kuhit hilo song lao aweze kujulikana kwanza afrika!!
Sio collabo wataimba,pamoja coke studio wapo pia wasanii wa kenya
we know that! unatumia nguvu nyingi kuponda
Nimeponda wapi kurekebisha na kuwapa ukweli ndo kuponda au mnapenda kudaganya n wimbo wa kiba ft neyo
Sio collabo wataimba,pamoja coke studio wapo pia wasanii wa kenya
Roho inakuuma sana! Umesikiliza jana XXL? Kiba alisema mbali na coke studio tayar wana project mpya itakayofanyika kati ya kiba na Neyo,
Hongera kiba kaza buti mwanawane
big up kiba
kiba juu