Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Matola yuko busy siasani yaani ni shiidah kwakweli. Hadi uchaguzi upite ndio tutaweza kurudi tena huku kama zamani.

Poapoa nifah ila ukimuona mkumbushe arudi mara moja kwenye thread yetu,alafu tusisahau kuvote kwa kiba kwenye #AFRIMMA na #AEA AWARDS!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tukae mkao wa kula, ni #KingKiba ft Ne-Yo
 

Attachments

  • 1439446327182.jpg
    1439446327182.jpg
    33.3 KB · Views: 95
Tukae mkao wa kula, ni #KingKiba ft Ne-Yo

saf!!ila naona mkuu kiba hajafanya fresh kwenda mbali zaid kupiga collabo na neyo wakati bado afrika hajaiteka sana, yasije yakawa ya AY aliefanya collabo na wasanii wakubwa wa nje ila afrika hajajulikana sa hiv yupo kimya!! labda asubiri collabo na davido litoke na liweze kuhit hilo song lao aweze kujulikana kwanza afrika!!
 
saf!!ila naona mkuu kiba hajafanya fresh kwenda mbali zaid kupiga collabo na neyo wakati bado afrika hajaiteka sana, yasije yakawa ya AY aliefanya collabo na wasanii wakubwa wa nje ila afrika hajajulikana sa hiv yupo kimya!! labda asubiri collabo na davido litoke na liweze kuhit hilo song lao aweze kujulikana kwanza afrika!!

Sio collabo wataimba,pamoja coke studio
 
Nimeponda wapi kurekebisha na kuwapa ukweli ndo kuponda au mnapenda kudaganya n wimbo wa kiba ft neyo

inajulikana kuwa inahusu cokestudio hata kwenye cover ipo hivyo, inabidi uelewe tu kijana,
 
Sio collabo wataimba,pamoja coke studio wapo pia wasanii wa kenya

Roho inakuuma sana! Umesikiliza jana XXL? Kiba alisema mbali na coke studio tayar wana project mpya itakayofanyika kati ya kiba na Neyo,
 
Ali Kiba kushirikiana na Neyo siyo target nzuri kwa mziki wa afrika kuna step hajafika hata p square collabo yao haikuwapeleka mbali sana, kuna wasanii wana nguvu ndogo sana kwenye soko la afrika so inabidi afanye na wenye soko kubwa afrika sababu he is new kwenye market hiyo.
 
Hakika dhahabu hata ikipita kwenye moto lazima ing'aa tu,ubora wa msanii Alikiba waendelea kujidhirisha baada ya kuingia tena kwenye tuzo za All African Music Awards kwenye categories 5.

1.Artist of the year 2015
2.Best song of the year 2015
3.Video of the year 2015
4.Best Male Artist of East Africa
5.Best Album of the year 2015

Note be: Haya ni mafanikio yanayopatikana kavu kavu bila collabo.

#Rockstar4000presents
 

Attachments

  • Screenshot_2015-08-14-21-33-51.png
    Screenshot_2015-08-14-21-33-51.png
    19.2 KB · Views: 372
  • Screenshot_2015-08-14-21-31-07.png
    Screenshot_2015-08-14-21-31-07.png
    39.3 KB · Views: 358
Back
Top Bottom