BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Subiri niusikilize sasa.
Nasubir maoni yko uwe mkweli tu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri niusikilize sasa.
oh U must be hardworker, boss favorite
Nasubir maoni yko uwe mkweli tu"
Naona watu mko bize na KIBAKULI wenu ambaye nae Yuko bize pia kupost picha alizopiga Nairobi wakati brother MONDI kanyakua Tatu ?frima na Nasema Nawe nyimbo bora Africa #vp kuhusu Mwana
Hata kuku atakucheka ukiropoka nasema nawe ni nyimbo bora ya mwaka nayo. Izizd aye, mwana.. kwel mganga anafanya kaz vizur
Nilishaupakua kitambo mkuu tokea asubuhi,nasubiri nikausikilize home usiku ndio nitatoa maoni yangu.
Hebu ingia YouTube hlf uniambie ni nyimbo ipi ya kibakuli iliyopata watazamaji wengi kuliko au zaidi ya nasema nawe.li mtu lenu lina nyimbo mbayaaaaaa,mi video mibovuuuuu hlf mnategemea ashinde tuzo,atashinda za mlimani city tuu za udongo.ila tuzo za kupanda ndege ni za diamond platnumz
Usipanick mkuu, views c kigezo hata cku moja punguza kuwaza kwa kutumia pua😎
Tangia lini ulishawahi kumuona shabiki wa platnumz apanick,nyie ndio mnapaniki kuanzia mwanamxiki wenu uchwala mpaka nyie mashabiki,cku hz mwanamziki wenu analopokalopoka tu vitu visivyoeleweke,poleni sana ila tatizo lingne ni nyota pia inachangia.
Wetu ni mwanamuziki or muimbaji wenu ni mnenguaji kuimba awaachie wanaojua
Maoni tafadhali
Stil nasubir majibu yko" #Pray4Kiba
Hebu niacheni mie niko busy kusaka salary.
Sina muda wa fu.c.k.i. n.g arguments kama zamani.
Wimbo ni mzuri kama kawaida ya Kiba,anajulikana hanaga single mbovu.