Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti.
Na dai anajua pia.
Wote wanajua.
to be honest #nagharamia ipo poa sana..

Kwakweli shemeji umeifanya asubuhi yangu iwe njema sana,ngoja niishie hapa ila pongezi zake cute b.
Ameplay part yake vyema.....
 
Last edited by a moderator:
Hebu niacheni mie niko busy kusaka salary.
Sina muda wa fu.c.k.i. n.g arguments kama zamani.
Wimbo ni mzuri kama kawaida ya Kiba,anajulikana hanaga single mbovu.

Huko bize kama msanii wenu KIBAKULI kupiga shows uchwala na kukacha tuzo #MSHANYOOKA
 
Kwakweli shemeji umeifanya asubuhi yangu iwe njema sana,ngoja niishie hapa ila pongezi zake cute b.
Ameplay part yake vyema.....

Unazani baby wangu ana shida basi... sema anapenda kupanikisha watu
 
Last edited by a moderator:
Nyumba hii imefungwa rasmi wenyewe wamehama. Wageni nendeni nyumba ya jirani mtawakuta watu kule.
 
Acha hizo wewe,wewe kama nani?

Dada upo, salama lakini? Vijana wetu ndo burudani zetu wapo kimyaa. Naona wimbi la siasa linataka kuwafunika.

Siasa za uchaguzi zimekwisha tupate burudani.

Nimekumiss nifah na jopo lako.
 
Dada upo, salama lakini? Vijana wetu ndo burudani zetu wapo kimyaa. Naona wimbi la siasa linataka kuwafunika.

Siasa za uchaguzi zimekwisha tupate burudani.

Nimekumiss nifah na jopo lako.

Mimi nimekumiss pia,ila mustakabali wa nchi ndio kila kitu,muziki baadae.
 
Mimi nimekumiss pia,ila mustakabali wa nchi ndio kila kitu,muziki baadae.

Upo sahihi dada, ngoja tuone atatuwekea kina nani. Haya turudi kwenye majukwaa yetu ya siasa. Nao huko naye pwilo kakita kambi.
 
Hili ndo jukwaa LA Ali ki iba?mmmh! wazima umuh.?nilikuwa natoa salamu,naennda jukwaa langu kila kukicha Tuzo.Mko poa akinagharamia?
 
Back
Top Bottom