Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mondiiiiiiiiii magazeti mpaka leo yanahangaika huyo mganga wako ni nani??? hahahahaha embu wape ka siri ka mafanikio na wenzako basiiiiiiii usiwaache nyuma nyuma hivoooo

Ahh je utanipendagaaa?
Au nawe utanimwagaa?
 
6632ed30c59a7f6bec9ebbdf8f77be0e.jpg
4353fab45f9114e0eefbbdd530efcf0a.jpg
e39e57ed36c05bd1cb4a6de15480e11e.jpg

2016 special celebration of the king return mostly welcome u all #king kiba
 
Ana maanisha ni noah na yupo serious
Ndio nipo serious kwani mi nafanya kazi ya kuosha magari
Na ana hadi bajaji kama hii
96d89667eab7ad5d6228b753fa05c304.jpg

Na taxi hii apa
925707d55650f1c7bde55254f1ae38cb.jpg
177013271285525a5fd9091b947df698.jpg

Ila kedrick sijui utaacha lini umbea ??
 
Last edited by a moderator:
Ndio nipo serious kwani mi nafanya kazi ya kuosha magari
Na ana hadi bajaji kama hii
96d89667eab7ad5d6228b753fa05c304.jpg

Na taxi hii apa
925707d55650f1c7bde55254f1ae38cb.jpg
177013271285525a5fd9091b947df698.jpg

Ila kedrick sijui utaacha lini umbea ??

Najua ujui jina la gari ilo ni Lexus
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom