Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Najua ujui jina la gari ilo ni Lexus
Kwa sababu umeona limeandikwa sio sasa unaniuliza jina la gari ambalo hata dogo langu hapa analijua stupid kabisa au unajua mi nakaa tandahimba nini kedrick [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unapendaga battle sana acha utoto grow up its 2015 end
 
Last edited by a moderator:
We huoni ni noah hiyo au macho huna

Kwa sababu umeona limeandikwa sio sasa unaniuliza jina la gari ambalo hata dogo langu hapa analijua stupid kabisa au unajua mi nakaa tandahimba nini kedrick [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unapendaga battle sana acha utoto grow up its 2015 end

Huyo ndo pwilo ....mzee wa nagharamia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu, kama upo nae karibu Mwambie asizingue ni kosa kubwa kutolitendea haki jina na heshima tuliyompa mashabiki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mnamfanya kiba hana akili sio hii game lazma uwe mjanja sio unakurupuka tuu sisi tushazoe kuanza na audio video baadae nyie endeleeni ku achia kwa pamoja #iga ufe
cute b yupo bize buanaa...

Ila akija kweli tutaelewanaa maana....

Vip lakin harakat za king zinaendaje? Kideo lini mkuu....

Tunaisubir....alafu why inachelewa? King kapata hindrance gan? Mkuuu
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu, kama upo nae karibu Mwambie asizingue ni kosa kubwa kutolitendea haki jina na heshima tuliyompa mashabiki
ha ha ha Kidingi mbona umepaniki. relax sisi mdogo mdogo tu. kila kitu mipango
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom