Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mlio saliti kambi kwaherini si tupo na underground wetu tu atoto na Abou Saydou hii sio faradhi wala sunaa ni maamuzi tu kama mimi kuipenda arsenal hata kama inashika top four kila mwaka tunaita automatic love yani ni nature tu haina sababu hii [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] #team kiba
 
Last edited by a moderator:

Teh teh....
Mashemeji vipi tena....kuna mtu kahamia huku ambako hamna stress nini?
 
Hamna asee hatuwezi kugombana ni kawaida kwa binadamu hizi changamoto ila hatugombani tunaweka sawa tu sumbai usijali shemeji
 
Poa poa mkuuu, siku hizi umekuwa na busara saana mkuu....
 
Last edited by a moderator:
Mlio saliti kambi kwaherini si tupo na underground wetu tu atoto na Abou Saydou hii sio faradhi wala sunaa ni maamuzi tu kama mimi kuipenda arsenal hata kama inashika top four kila mwaka tunaita automatic love yani ni nature tu haina sababu hii [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] #team kiba

Haahaaahaaahaa "kusaliti kambi"
Kwahiyo unataka nisupport upumbavu ambao unajionesha waziwazi?
Bado mshabiki wa Kiba ila sio kwa ujinga anaoufanya, ana maneno mengi kama demu aliyepigwa kibuti ikiwa bado anamuhitaji mchalii wake.
 
Kila mtu ana mapungufu yake ila sio yule ---- wa kumsahihisha kiba makosa yake ni zarau kwa kweli
 
Mlio saliti kambi kwaherini si tupo na underground wetu tu atoto na Abou Saydou hii sio faradhi wala sunaa ni maamuzi tu kama mimi kuipenda arsenal hata kama inashika top four kila mwaka tunaita automatic love yani ni nature tu haina sababu hii [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] #team kiba
Hebu wataje kwanza waliosaliti kambi.
Hivi kumpongeza Diamond kwa wimbo wake ndio imekuwa nongwa?
Huo ni ushamba,ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mimi bado na nitaendelea kuwa shabiki mkubwa wa Kiba.
Huu ni usabiki na sio uhasama kama Simba na Yanga kwamba wana msimbazi hawawezi kuwakubali wajangwani hata wafanye vizuri vipi.
 
Last edited by a moderator:
Hebu wataje kwanza waliosaliti kambi.
Hivi kumpongeza Diamond kwa wimbo wake ndio imekuwa nongwa?
Huo ni ushamba,ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mimi bado na nitaendelea kuwa shabiki mkubwa wa Kiba.
Huu ni usabiki na sio uhasama kama Simba na Yanga kwamba wana msimbazi hawawezi kuwakubaki wajangwani hata wafanye vizuri vipi.
Umesema vizuri nilichoandika lakini ?? Sidhani pia hata kama kuna id name yako katika comment yangu atoto ye alijitoa kabisa katika hii kambi Abou Saydou na yeye alikuwa anamtetea ben pol sasa hayo mengine sijui yametoka wapi nimeona maelezo marefu nahisi huku nielewa nenda kwenye thread ya ben pol utanielewa
 
Sikutaka kukujibu ila imebidi nikujibu pwilo, mie ni shabiki wa Kiba daima dumu, no matter what, sijajitoa na siwezi maana hajanipa sababu ya kujitoa, you gat me??
Kwahiyo usipochangia ktk uzi huu basi umemsaliti kiba? Kuna shabiki wa kiba na mondi wangapi in here? Do you think wote wanachangia kwenye nyuzi hizi? Sometime uelewe basi japo hata kidogo.

By the way video nimeiona na nishaidownload naicheki tuu yaani naicheki tuuu, am out.
 
mnataka muifanye hii mada iwe kubwa wakati ni issue ndogo atoto nifah Abou Saydou niliwakuta na nitawaacha sasa hayo mengine sijui yametokea wapi I think is misunderstanding tu
Kila mtu na uhuru wake halafu wewe atoto wewe;
 
Last edited by a moderator:
Rangi ya chekecha na hii ipi kali
We jamaa wewe siku video za x za domo zikivuja analiwa t@ko naona utazimia maana unabishana utoto tu sasa rangi ndo kigezo cha video bora msanii anasiwa audio sio video coz director responsible for it not artist na mnajua msanii wenu kuimba 0 ndo maana mnasifia video [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom