Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nifah Abou Saydou atoto tufunge mjadala mambo mengine yaendelee who's kiba by the way "; don't panic

Pwilo nimekupa like, hakuna sababu ya kuzozana. Haya mambo tuyafanye kwa funy tu yasichikue muda wetu wala kujenga unasema. Nyie ni wamoja, who is Kiba by the way? He always make his funs feel unhappy everyday.
 
Last edited by a moderator:
Hebu wataje kwanza waliosaliti kambi.
Hivi kumpongeza Diamond kwa wimbo wake ndio imekuwa nongwa?
Huo ni ushamba,ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mimi bado na nitaendelea kuwa shabiki mkubwa wa Kiba.
Huu ni usabiki na sio uhasama kama Simba na Yanga kwamba wana msimbazi hawawezi kuwakubaki wajangwani hata wafanye vizuri vipi.

Jumapili yangu imeenda vema kwa ajili ya hii coment.
nifah hakika wewe ni shabiki bora kabisa wa music....
 
Last edited by a moderator:
Hivi ushawahi kujiuliza wanamuziki wengine ukiachana na diamond wanavyojisikia ambao walikuwa active kipindi kiba alikaa pembeni lakini kiba alivyorudi ni kama wamesahaulika na kiba kaenda straight kwenye peak. ...najua unajua lakini napenda ujue zaidi kwamba kiba ndo msanii pekee ambaye hana company kubwa ya wanamuziki wenzake lakini mwenye fan base kubwa TZ
 
Yap uwepo wa hizi teams umeharibu sana mambo mengi... Sometimes naona kabisa, hasa V mtonyo kwa alipofikia alitakiwa awe na support kubwa kuliko hata ya Kiba, coz wasanii wa kike wanaofanya vizuri Afrika ukitaja watatu huwezi kumuacha Vanessa lakini baaado wabongo tumeweka tinted kwenye juhudi zake, na hata alichofanya Ben pol juzi kina reflect hili...

Na kuja kuisha beef haiwezekani, coz kiba ndio anaponea hapooo, likiisha tu hatatofautiana na abdukiba.
 
Game imekuwa very unfair. .sishangai kuona ommy dimpoz katika ngoma yake mpya anaomba poo ya kiutu uzima kwa nassib kwani tangu wazinguane amerudi hatua kumi nyuma kimziki
 
Yap uwepo wa hizi teams umeharibu sana mambo mengi... Sometimes naona kabisa, hasa V mtonyo kwa alipofikia alitakiwa awe na support kubwa kuliko hata ya Kiba, coz wasanii wa kike wanaofanya vizuri Afrika ukitaja watatu huwezi kumuacha Vanessa lakini baaado wabongo tumeweka tinted kwenye juhudi zake, na hata alichofanya Ben pol juzi kina reflect hili...

Na kuja kuisha beef haiwezekani, coz kiba ndio anaponea hapooo, likiisha tu hatatofautiana na abdukiba.
Sasa v money ni msanii yule au vile vichupi mule kwenye video
Hamna kitu pale anabebwa na anavyojifanya anaimba kizungu anaishi kizungu mashabiki atatoa wapi uzungu mwingi kuimba 0 Kidingi kedrick nyie ni haters tu kama tid so huu ujinga wa kuja huku mnachafua hii thread
 
Hahahaha we ndio hater, kwasababu Vanessa ni mtoto lakini ana mafanikio makubwa internationally kuliko kiba then ndio umponde??? watch out usizeeke mchawi, hayo mazoea hujenga tabia mbaaya sana.

Mi sio hater kama unavosema, mi niko poa tu na kiba ninasikiliza nyimbo zake kama ninavosikiliza za mirror sema tu kile alichosema Ben pol OVERRATED ndio wanachofanya mafwansi hahaha
 
Last edited by a moderator:
Kwaio matimu kiba mwamchukia V.Dollaz.ha ha ha ha ni wakiintaneshinale yle tafauti na kiba yule.
 
Eti wanashangaa kwanini V Mtonyo na SIMBA PLATNUMZ ndio wametoboa internationally huku wao wapo nyuma hawaelewi sababu ni zipi, kinachobaki ni kuota kuna figisu figisu hahahahahaha hatari saaaaaaaaana saana
 
Hahahaha we ndio hater, kwasababu Vanessa ni mtoto lakini ana mafanikio makubwa internationally kuliko kiba then ndio umponde??? watch out usizeeke mchawi, hayo mazoea hujenga tabia mbaaya sana.

Mi sio hater kama unavosema, mi niko poa tu na kiba ninasikiliza nyimbo zake kama ninavosikiliza za mirror sema tu kile alichosema Ben pol OVERRATED ndio wanachofanya mafwansi hahaha
Recho ni zaidi ya Vanessa sema fitina tu
 
Eti wanashangaa kwanini V Mtonyo na SIMBA PLATNUMZ ndio wametoboa internationally huku wao wapo nyuma hawaelewi sababu ni zipi, kinachobaki ni kuota kuna figisu figisu hahahahahaha hatari saaaaaaaaana saana
Hamna anayemchukia v money na unafiki wako ila kuimba 0 kukaa uchi 100% kusikiza nyimbo za mirror kiba hayo ni maamuzi yako ila v money wakawaida sana labda kwa umalaya
 
Recho ni zaidi ya Vanessa sema fitina tu

Hapo ndio unapofeli brother unatumia misingi ipi? Mara oooh Q chief anajuwa ila figisu, mara ooooh bele 9 anajuwa ila figisu duuuuh... Huyo Q chief ashawahi kuropoka anarogwa, Diamond alinyooshewa sana vidole ila sahiv Chillah kaufyata kamuomba Diamond collable.. Bele 9 ndio matizo kabisa sahivi ndio ameanza kuzinduka kwenye usingizi mzito maana hakuwaga hta na management huku anakaa Moro ilhali anajuwa fikra kila kitu Dar, mwisho wa siku anakosa interviews, connections, shows za kuunga.. hii management aliyonayo ndio amepata juzi tu..!

Vanessa ni mwanamke shujaa sana, mpaka hapa alipo sasahivi hana management kila kitu anafanya yeye... Huyu manzi anajielewa kupitiliza, afu mijanaume mingine ooooh nikipata management nzuri ndio nitafanikiwa, wakati vee anapiga mambo pekeyake.
 
Heri ya mwaka mpya waungwana. Mnaanza mwaka na majeraha ya mahabat nunda wenu hajafanya cha maana mwaka mzima zaidi ya mbeleko

Tusitoane macho ni mtazamo tu wa ukweli.
 
uploadfromtaptalk1452194342022.jpg

Kingkiba #lupela loading
 
Back
Top Bottom