kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Jamaa anatafuta kiki hata kwa Ruby! Hii sasa balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa Domo kwenye upande wa videos yuko vizuri,na hii ni sababu anajua hasa kuuvaa uhusika.Hivi utanipendaga ile si kaswida au ni masikio yangu tu?!!
Mimi nahisi jamaa anaimba tu coz ndiko alikotokea na anapendwa tu sababu ya jina na umaarufu na pesa za kutolea video kali......vinginevyo hamna kitu pale!
Hahahahaa Domo kwenye upande wa videos yuko vizuri,na hii ni sababu anajua hasa kuuvaa uhusika.
Kiba ajitahidi atuletee kichupa cha maana kwenye hii Lupela.
hahahahhTareh 4 patachafuka humu wallah ctakosa kasoro mie
Kwa nini mods mmeiondoa hii thread ya Kiba fans' kule celeb forum na kuileta huku kwenye jukwaa la sports and entertainment? it si not fair kwa kweli unless watoe sababu za kiufundi...I swear to god all music lovers wataipenda hii video na audio ya lupela abydad katisha sana na beat lake lile #hifadhi hii post cc Nifah peterchoka Th Name na team KIBA mtaipenda hii
pwilo nimekukubali....I swear to god all music lovers wataipenda hii video na audio ya lupela abydad katisha sana na beat lake lile #hifadhi hii post cc Nifah peterchoka Th Name na team KIBA mtaipenda hii
Hili nilikuwa sijaliona,sasa ndio ninefuatilia.Kwa nini mods mmeiondoa hii thread ya Kiba fans' kule celeb forum na kuileta huku kwenye jukwaa la sports and entertainment? it si not fair kwa kweli unless watoe sababu za kiufundi...
Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.OK ok ok..
1st. Wote tunajua kuwa kiba anafight awe msanii wa kimataifa na tunamuombea kheri kwenye hilo so ameona afanye wimbo electronic ili apate attention ya kimataifa ila alochokosea ni kwamba nyimbo za mahadhi ya electronic zinapendwa zaidi nnchi za magharibi na si afrika, na ili uliupenye soko la magharibi kwanza unatakiwa uwe na base nzuri afrika! So hapo naona ‘king’ amechemka au waliomshauri walipotoka..
2nd. Kiba ni msanii mkubwa sana hapa Bongo sikutegemea afanye kosa kama hili wimbo huu kwa 70% umefanana kabisa na wimbo wa Hussein machozi ”am ddicted to you”!! Tunaweza tukabisha, tukavua Nguo na kugaragara kwa ubishi wa mahaba, lakini ukweli ni huo wimbo huu ni kama amesamlpe ‘addicted to you’!! Angefanya kosa hili underground ningeelewa lakini kiba Jamani, what happened
3rd. Kiba hatakiwi kulazimisha kutengeneza ‘club bangers’, aina yake ya uimbaji inafaa nyimbo flani hivi za Ujumbe wa kusikiliza kwa utulivu mfano nyimbo ya mwana!! Sasa hii kasumba ya nayeye anataka awe na club banger inampoteza na ndicho kilichomcost kwenye cheketua!!
Mwisho! Namshauri kiba atoe nyimbo nyingine fasta kuepuka damage ya itakayoletwa na hii nyimbo maana kwa promo iliyopewa hii nyimbo kwa kweli niko very disappointed.!!
c'mon kiba you can do better than this, alafu usitake kushindana na wenzako ambao wameshavuka tayari jaribu kujifunza kutoka kwao!!
Sanaaaaa,Kiba kadhihirisha yeye ni king hasa kwenye hii ngoma.Hii ngoma kiba katisha sana.. Nyimbo nzuri saana
duh...Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.
You are just a hater na huna impact yoyote,sisi mashabiki tena wale KINDAKINDAKI tunasema asante Ali Kiba kwa hii ngoma.
Binafsi hadi sasa sijalala naserebuka tu jinsi ngoma ilivyo kali.....
nini maana ya shabiki KINDAKINDAKI...Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.
You are just a hater na huna impact yoyote,sisi mashabiki tena wale KINDAKINDAKI tunasema asante Ali Kiba kwa hii ngoma.
Binafsi hadi sasa sijalala naserebuka tu jinsi ngoma ilivyo kali.....
oooh...OK ok ok..