Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hivi utanipendaga ile si kaswida au ni masikio yangu tu?!!
Mimi nahisi jamaa anaimba tu coz ndiko alikotokea na anapendwa tu sababu ya jina na umaarufu na pesa za kutolea video kali......vinginevyo hamna kitu pale!
Hahahahaa Domo kwenye upande wa videos yuko vizuri,na hii ni sababu anajua hasa kuuvaa uhusika.
Kiba ajitahidi atuletee kichupa cha maana kwenye hii Lupela.
 
Swadaktaa!
Ila Kiba ana vionjo vyake navipenda sana.
Kuna wakati kidogo anabugi kwenye video (tizama SIKUONI ile ya zamani) lakini alivyokuwa anaimba ile facial expression na vile anavyotembea hadi raha yaani!
 
Jamani midomo ikiwawasha sio lazima muongee.... jaribuni hata kutafuna popcorn au kumumunya ubuyu!
Yaani Kiba atafute kick kwa kale ka Ruby?
Hahahaaa I can't imagine kwakweli.

Kama kuteleza aliteleza tu kama binadamu wa kawaida coz ulimi hauna mfupa ila sio kusema eti akaanzishe ugomvi na Ruby!! Only Great Jingaz ndo wanaweza kufikiri hivyo!
 
I swear to god all music lovers wataipenda hii video na audio ya lupela abydad katisha sana na beat lake lile #hifadhi hii post cc Nifah peterchoka Th Name na team KIBA mtaipenda hii
 
Kwa nini mods mmeiondoa hii thread ya Kiba fans' kule celeb forum na kuileta huku kwenye jukwaa la sports and entertainment? it si not fair kwa kweli unless watoe sababu za kiufundi...
 
Ali Kiba najua huwa unapitia huu uzi,kiukweli nimeipenda sana Lupela.
Nipo naisikiza hapa siichoki,bonge la ngoma Wallah!
 
I swear to god all music lovers wataipenda hii video na audio ya lupela abydad katisha sana na beat lake lile #hifadhi hii post cc Nifah peterchoka Th Name na team KIBA mtaipenda hii
pwilo nimekukubali....
Uliapia tutaipenda Lupela eeh bwana imenitia wazimu.
Inachezeka,nzuri....jamani!
Maneno hayatoshi kuielezea,nimeipenda hii ngoma kulikotukuka.
 
Kwa nini mods mmeiondoa hii thread ya Kiba fans' kule celeb forum na kuileta huku kwenye jukwaa la sports and entertainment? it si not fair kwa kweli unless watoe sababu za kiufundi...
Hili nilikuwa sijaliona,sasa ndio ninefuatilia.
Mods tunaomba mturudishie uzi huu wa Kiba fans kule celebrities, haiwezekani wa Diamond ubaki kule huu wetu mje kuutupa huku Sports and Entertainment....kama vipi leteni na huo wa Diamond fans huku.

Kama hamtaki kutuona mashabiki wa Kiba kule celebrities mseme,huu ni zaidi ya uonevi.

cc Invisible Moderator Paw
 
OK ok ok..
1st. Wote tunajua kuwa kiba anafight awe msanii wa kimataifa na tunamuombea kheri kwenye hilo so ameona afanye wimbo electronic ili apate attention ya kimataifa ila alochokosea ni kwamba nyimbo za mahadhi ya electronic zinapendwa zaidi nnchi za magharibi na si afrika, na ili uliupenye soko la magharibi kwanza unatakiwa uwe na base nzuri afrika! So hapo naona ‘king’ amechemka au waliomshauri walipotoka..

2nd. Kiba ni msanii mkubwa sana hapa Bongo sikutegemea afanye kosa kama hili wimbo huu kwa 70% umefanana kabisa na wimbo wa Hussein machozi ”am ddicted to you”!! Tunaweza tukabisha, tukavua Nguo na kugaragara kwa ubishi wa mahaba, lakini ukweli ni huo wimbo huu ni kama amesamlpe ‘addicted to you’!! Angefanya kosa hili underground ningeelewa lakini kiba Jamani, what happened

3rd. Kiba hatakiwi kulazimisha kutengeneza ‘club bangers’, aina yake ya uimbaji inafaa nyimbo flani hivi za Ujumbe wa kusikiliza kwa utulivu mfano nyimbo ya mwana!! Sasa hii kasumba ya nayeye anataka awe na club banger inampoteza na ndicho kilichomcost kwenye cheketua!!

Mwisho! Namshauri kiba atoe nyimbo nyingine fasta kuepuka damage ya itakayoletwa na hii nyimbo maana kwa promo iliyopewa hii nyimbo kwa kweli niko very disappointed.!!

c'mon kiba you can do better than this, alafu usitake kushindana na wenzako ambao wameshavuka tayari jaribu kujifunza kutoka kwao!!
 
Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.
You are just a hater na huna impact yoyote,sisi mashabiki tena wale KINDAKINDAKI tunasema asante Ali Kiba kwa hii ngoma.
Binafsi hadi sasa sijalala naserebuka tu jinsi ngoma ilivyo kali.....
 
samahani lakini...
hii beat iliyotumika katika huu wimbo mbona kama imefanyika sampling ya beat ya Hussein Machozi Addicted...
lakin pia hii sio issue sana...
lakini mashairi ya huu wimbo yamekaa KITOTO sana...
samahani lakini msije nielewa vibaya,hata mimi ni shabiki MZURI tu wa Ali Kiba...
Lakin kiUKWELI hii ngoma haitakua tishio sana kwenye media...
ukizingatia mziki wetu wenyewe ulivyokua na MAFUNDI wengi siku hizi..!
 
Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.
You are just a hater na huna impact yoyote,sisi mashabiki tena wale KINDAKINDAKI tunasema asante Ali Kiba kwa hii ngoma.
Binafsi hadi sasa sijalala naserebuka tu jinsi ngoma ilivyo kali.....
duh...
 
nini maana ya shabiki KINDAKINDAKI...
una maana ni shabiki ambaye anapingana na UKWELI ama...
samahani lakini,nimeuliza kwa lengo la kutaka kujua maana ya shabiki KINDAKINDAKI...
maana usije ukanitukana bure,maana mashabiki wa Ali Kiba na Diamond wanakuaga na MATUSI sana ukiongea ukweli kuhusu wasanii wao..!
 
OK ok ok..
1st. Wote tunajua kuwa kiba anafight awe msanii wa kimataifa na tunamuombea kheri kwenye hilo so ameona afanye wimbo electronic ili apate attention ya kimataifa ila alochokosea ni kwamba nyimbo za mahadhi ya electronic zinapendwa zaidi nnchi za magharibi na si afrika, na ili uliupenye soko la magharibi kwanza unatakiwa uwe na base nzuri afrika! So hapo naona ‘king’ amechemka au waliomshauri walipotoka..

2nd. Kiba ni msanii mkubwa sana hapa Bongo sikutegemea afanye kosa kama hili wimbo huu kwa 70% umefanana kabisa na wimbo wa Hussein machozi ”am ddicted to you”!! Tunaweza tukabisha, tukavua Nguo na kugaragara kwa ubishi wa mahaba, lakini ukweli ni huo wimbo huu ni kama amesamlpe ‘addicted to you’!! Angefanya kosa hili underground ningeelewa lakini kiba Jamani, what happened

3rd. Kiba hatakiwi kulazimisha kutengeneza ‘club bangers’, aina yake ya uimbaji inafaa nyimbo flani hivi za Ujumbe wa kusikiliza kwa utulivu mfano nyimbo ya mwana!! Sasa hii kasumba ya nayeye anataka awe na club banger inampoteza na ndicho kilichomcost kwenye cheketua!!

Mwisho! Namshauri kiba atoe nyimbo nyingine fasta kuepuka damage ya itakayoletwa na hii nyimbo maana kwa promo iliyopewa hii nyimbo kwa kweli niko very disappointed.!!

c'mon kiba you can do better than this, alafu usitake kushindana na wenzako ambao wameshavuka tayari jaribu kujifunza kutoka kwao!!
oooh...
ndugu yangu sikuisoma post yako...
kumbe na wewe umekiona nilichokiona mimi...
asante sana,nilijua niko peke yangu..!
 
Back
Top Bottom