Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wapi nilipokuuliza au kukataa?
Najua unataka ligi na huo muda sina.
Naenjoy Lupela....

Nifah mimi tena ligi na wewe! No.

Nimesema King Kiba Balozi wa Wanyama Wote (Hii niliijua kupitia kwa Wema Sepetu) ametisha kwenye Lupela.
 
Nifah mimi tena ligi na wewe! No.

Nimesema King Kiba Balozi wa Wanyama Wote (Hii niliijua kupitia kwa Wema Sepetu) ametisha kwenye Lupela.
Mimi nawe tunaheshimiana,ila unanichokoza na nimetumia busara tu kukukwepa.

Enjoy......
 
Mimi nawe tunaheshimiana,ila unanichokoza na nimetumia busara tu kukukwepa.

Enjoy......
Za asubuhi Nifer.... Nakuona hapo mnabadilishana mawili matatu, me napita tu, Kama Vipi badae, msalimie huyo jamaa.
 
Nyimbo ipo below standard, beat ya hovyo... Kiba hana washauri nn!?!? He got talent but lacks creativity.
 
biti na kinanda nineipenda sema kashindwaa kuitendea haki kinandaa, kapoa sanaa
 
2065c33e300a528de83fde2babf2883d.jpg
Balozi katuangusha
 
wewe wasema, mbona mondi alikopi kwa pasha hatukuwaona
Wewe unasema Pasha tu mkuu wakati jamaa anamcopy Q-Chillah daily?
Sema nini?Tuachane nao....Kiba keshatupa raha kwenye Lupela.
Tuendelee kuburudika.
 
Wewe unasema Pasha tu mkuu wakati jamaa anamcopy Q-Chillah daily?
Sema nini?Tuachane nao....Kiba keshatupa raha kwenye Lupela.
Tuendelee kuburudika.
ndo maana me nowadays sibishani nao coz najua ni unafiki tu umewajaa sio ushabiki, ila huyu jamaa fundi sana sio kwa electro hii dah! "mng'aro wa nuru yako kama mbalamwezi"
 
ndo maana me nowadays sibishani nao coz najua ni unafiki tu umewajaa sio ushabiki, ila huyu jamaa fundi sana sio kwa electro hii dah! "mng'aro wa nuru yako kama mbalamwezi"
Umeona eeh?

"Uzuri wa macho yako,kama yana machozi"
Pale kwenye Jiuwi uwiiiii
Daaamn,Kiba kanimaliza kwenye hii ngoma,naipenda mnooo!
 
hahaha dadaake Nifah kiba atatutoa roho kwakweli kila nyimbo kali aisee, halafu kuna wapendanao sijawaona kitambo humu, "umeumbwa mama"
 
hahaha dadaake Nifah kiba atatutoa roho kwakweli kila nyimbo kali aisee, halafu kuna wapendanao sijawaona kitambo humu, "umeumbwa mama"
Kakake juzi nimefanyiwa surprise ya hii ngoma nilihisi kudata!
Bae kani-video call kisha kaniwekea hii ngoma...halafu ananiangalia tu!
Uwiiiii Lupela ni shiiidah!

Wapendwa wetu huku wamepotea baada ya mods kutuharibia uzi,kama haitoshi wameamua kuutoa celebrities na kuupeleka entertainment.
Wenye roho nyepesi wamekimbia,WAFIA KIBA tunakomaa tu maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom