Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nenda kaisikilize nyimbo ya zilipendwa ya matonya ndo utajua namaanisha nini?

Kama mdundo wa kuchekezeka, hata mwanaume mashine inao.

Kikubwa ni ubunifu na sio kuchukua idea ya mtu alafu unanyonga beat tofauti na kutembea nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Video ya kiba inapoanza ni km wameenda kuiba pesa. Kitu ambacho kiko kwenye video nyingi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hili neno KIPUSA kwa mwanaume kulitumia ni vibaya, kwani maana yake ina ukakasi, sijui labda alikuwa anamaanisha nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unamaana gani?fanya kufunguka.

-Ndumilakuwili-
Anavurugwa na gharama/bill za nyumba bondeni (South kwa Zali), hasa ukizingatia shows zimekata siku hizi na invoice Za madale, kwa mobeto na South kwa Zali bado ziko pale pale, lazima uuze karanga na uchanganyikiwe kwa kutoa video za bei nafuu kama Zilipendwa, ukiwa na familia nzima dhidi ya mtu mmoja Alikiba na hit yake mpya ya Seduce Me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je utanipenda= Mike T
Je utanipendaga= Mondi
Chambua kama karanga= Saida
Chambua kama karanga= Mondi
Zilipendwa= Matonya
Zilipendwa= Mondi
...... Kwisha kazi
Numb = RIhanna
Numb = Usher
Numb = Linkin Park

Where are You = Jay Sean
Where are You = Bob

Hello = J Cole
Hello = Adele

Dive = Usher
Dive = Ed Sheeran

I Miss You = Beyonce
I Miss You = Adele

Lay me down = Sam smith
Lay me down = Adele

Runaway = Kanye west
Runaway = J cole

Show me = Usher
Show me = Bruno Mars

umejifunza nn hapo je ushawahi sikia msanii wa nje analalamika kuibiwa jina la wimbo na msanii mwingine

Usifanye kwasababu fulani kafanya
 
yaani tangia asubuhi nyimbo ya Alikiba itoke hakukuwepo na uzi wowote hadi WCB wametoa yao ndo Uzi wa Alikiba unapandishwa.....hivi ni mods ndo wamefuta nyuzi za Alikiba au ndo mashabiki wameshindwa kuweka uzi wa Superstar wa kkoo?
Kitu kinajiuza chenyewe haiitaji promo za mitandaoni. Nakwambia huu wimbo will last longer. Mm nawapenda wote domo na Ally but huu wimbo utzidi kupendwa siku baada ya siku
 
Anavurugwa na gharama/bill za nyumba bondeni (South kwa Zali), hasa ukizingatia shows zimekata siku hizi na invoice Za madale, kwa mobeto na South kwa Zali bado ziko pale pale, lazima uuze karanga na uchanganyikiwe kwa kutoa video za bei nafuu kama Zilipendwa, ukiwa na familia nzima dhidi ya mtu mmoja Alikiba na hit yake mpya ya Seduce Me.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka agiza wine hapo nakuja
 
Kitu kinajiuza chenyewe haiitaji promo za mitandaoni. Nakwambia huu wimbo will last longer. Mm nawapenda wote domo na Ally but huu wimbo utzidi kupendwa siku baada ya siku
sio bongo ya sisi,na sio style ya muziki wa sasa wa bongo fleva hakuna nyio inayolast longer zote baada ya miezi miwili tu tunaziita [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
 
sio bongo ya sisi,na sio style ya muziki wa sasa wa bongo fleva hakuna nyio inayolast longer zote baada ya miezi miwili tu tunaziita [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
IMG_20170826_131340_618.JPG
 
Back
Top Bottom