Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video ya kiba inapoanza ni km wameenda kuiba pesa. Kitu ambacho kiko kwenye video nyingi tu.Nenda kaisikilize nyimbo ya zilipendwa ya matonya ndo utajua namaanisha nini?
Kama mdundo wa kuchekezeka, hata mwanaume mashine inao.
Kikubwa ni ubunifu na sio kuchukua idea ya mtu alafu unanyonga beat tofauti na kutembea nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unamaana gani?fanya kufunguka.
Anavurugwa na gharama/bill za nyumba bondeni (South kwa Zali), hasa ukizingatia shows zimekata siku hizi na invoice Za madale, kwa mobeto na South kwa Zali bado ziko pale pale, lazima uuze karanga na uchanganyikiwe kwa kutoa video za bei nafuu kama Zilipendwa, ukiwa na familia nzima dhidi ya mtu mmoja Alikiba na hit yake mpya ya Seduce Me.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unamaana gani?fanya kufunguka.
-Ndumilakuwili-
Numb = RIhannaJe utanipenda= Mike T
Je utanipendaga= Mondi
Chambua kama karanga= Saida
Chambua kama karanga= Mondi
Zilipendwa= Matonya
Zilipendwa= Mondi
...... Kwisha kazi
ile video shoot zke na reflect zke ni za video ya Dj snake ft Justin beiber Let me love you kilichobadilika ni kuwa kuna vipande wame vichomoa tuVideo ya kiba inapoanza ni km wameenda kuiba pesa. Kitu ambacho kiko kwenye video nyingi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifanye kwasababu fulani kafanyaNumb = RIhanna
Numb = Usher
Numb = Linkin Park
Where are You = Jay Sean
Where are You = Bob
Hello = J Cole
Hello = Adele
Dive = Usher
Dive = Ed Sheeran
I Miss You = Beyonce
I Miss You = Adele
Lay me down = Sam smith
Lay me down = Adele
Runaway = Kanye west
Runaway = J cole
Show me = Usher
Show me = Bruno Mars
umejifunza nn hapo je ushawahi sikia msanii wa nje analalamika kuibiwa jina la wimbo na msanii mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kinajiuza chenyewe haiitaji promo za mitandaoni. Nakwambia huu wimbo will last longer. Mm nawapenda wote domo na Ally but huu wimbo utzidi kupendwa siku baada ya sikuyaani tangia asubuhi nyimbo ya Alikiba itoke hakukuwepo na uzi wowote hadi WCB wametoa yao ndo Uzi wa Alikiba unapandishwa.....hivi ni mods ndo wamefuta nyuzi za Alikiba au ndo mashabiki wameshindwa kuweka uzi wa Superstar wa kkoo?
Thread hii bila video ni kama kula ugali kwa picha ya samaki.
Kaka agiza wine hapo nakujaAnavurugwa na gharama/bill za nyumba bondeni (South kwa Zali), hasa ukizingatia shows zimekata siku hizi na invoice Za madale, kwa mobeto na South kwa Zali bado ziko pale pale, lazima uuze karanga na uchanganyikiwe kwa kutoa video za bei nafuu kama Zilipendwa, ukiwa na familia nzima dhidi ya mtu mmoja Alikiba na hit yake mpya ya Seduce Me.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio bongo ya sisi,na sio style ya muziki wa sasa wa bongo fleva hakuna nyio inayolast longer zote baada ya miezi miwili tu tunaziita [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]Kitu kinajiuza chenyewe haiitaji promo za mitandaoni. Nakwambia huu wimbo will last longer. Mm nawapenda wote domo na Ally but huu wimbo utzidi kupendwa siku baada ya siku
sio bongo ya sisi,na sio style ya muziki wa sasa wa bongo fleva hakuna nyio inayolast longer zote baada ya miezi miwili tu tunaziita [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]