Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo yeye leo wameagizwa wamkejeli Ali Kiba kwasababu Mmakonde amekua Tembo Mkubwa mno.Huyu ni innocent dependent ninayemjua?!???
ndiyo yeye leo wameagizwa wamkejeli Ali Kiba kwasababu Mmakonde amekua Tembo Mkubwa mno.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni innocent dependent ninayemjua?!???
Kwa hiyo anamtegea Rihanna aachie album na yeye aachie hiyo ngoma,au?
Sema Rihanna amefanya collabo chache sana kwa miaka hii 3 iliyopita,kwanini asiliachie kwasababu watu wana hamu ya kumsikia tena
Ameshafanyaga ngoma na Drake kali kinoma ila hataki tu watu waisikie
Drake kila siku ana mlalamikia jamaa mbona haitoi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kimya kinoma nahisi ishu za korona ndiyo zitamchelewesha zaidi kutoaNilisikia tetesi Rihanna anatengeneza album ya Dancehall, na mimi nilivyo fanwa muziki wa Caribbean nimesubiri huu mwaka wa 3 sasa kimya tu
Mnajifariji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameshafanyaga ngoma na Drake kali kinoma ila hataki tu watu waisikie
Drake kila siku ana mlalamikia jamaa mbona haitoi.
Sent using Jamii Forums mobile app