Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nina mapenzi mema na Ali Kiba, naomba kila wimbo mpya unapotoka tuwe tunauweka hapa ili kuwafikia wafanse wengi zaidi.
 
Kwa taarifa nilizopata hiv karibuni kutoka kwa mtu wa karibu wa Alikiba,kibabude kumbe Alikiba ana ngoma na msanii ambaye anafanya vizuri duniani Rihanna ipo kwenye store lakina Kuna ngoma pia Alikiba kashiriki wa na Wizkid ( Wizkid ft Alikiba).Kumbe! Alikiba Ni msanii mkubwa Africa sema tu kwasababu apendi show off mpaka anashirikishwa Wizkid wakati Wizkid ndo anashirikishwa na watu.

Natamani nisikie hiyo ngoma na Rihanna

Stay turned #Team mziki mzuri
 
Write your reply...hata Mimi hiyo ishu nilisikia



pia ana urafiki wa karibu na rapa lily dicky na pia alimpa wazo ya ile nyimbo yake ya professional rapper sema nini jamaa ni mstarabu sana hataki watu wajue hajioni wangekuwa wale wa madale Instagram ingechafuka


kiba hapendagi show off ndo maana amekataza ma stars wa music kukomenti kwenye page yake ya IG kwa kile atakacho post
 
Kwa hiyo anamtegea Rihanna aachie album na yeye aachie hiyo ngoma,au?
Sema Rihanna amefanya collabo chache sana kwa miaka hii 3 iliyopita,kwanini asiliachie kwasababu watu wana hamu ya kumsikia tena
 
Kwa hiyo anamtegea Rihanna aachie album na yeye aachie hiyo ngoma,au?
Sema Rihanna amefanya collabo chache sana kwa miaka hii 3 iliyopita,kwanini asiliachie kwasababu watu wana hamu ya kumsikia tena


Nilisikia tetesi Rihanna anatengeneza album ya Dancehall, na mimi nilivyo fan wa muziki wa Caribbean nimesubiri huu mwaka wa 3 sasa kimya tu
 
Nilisikia tetesi Rihanna anatengeneza album ya Dancehall, na mimi nilivyo fanwa muziki wa Caribbean nimesubiri huu mwaka wa 3 sasa kimya tu
Ni kimya kinoma nahisi ishu za korona ndiyo zitamchelewesha zaidi kutoa
Kama juzi niliona collabo yake na partynextdoor kwenye album ya mchizi mpya
 
Back
Top Bottom