Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
kwani ali kiba hajafanikiwa kaka kaka remember you dont have to a right to speak or write before doing the reseach kaka au mpaka ali kiba aseme ana nyumba fancy mansion mombasa ndio uoneKiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
HAYA ACCORDING TO FORBES JOURNAL TENA MWAKA 2016 DIAMOND ANA NETWORTH YA $ 5MILLIONS THEN ALI KIBA ANA NETWORTH YA $ 4MILLIONS THEN PROF.JAY HAS NETWORTH YA $3.5MILLIONS KAKA UWE UNAFATILIA KWANZA KABLA YA KUONGEA