Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
kwani ali kiba hajafanikiwa kaka kaka remember you dont have to a right to speak or write before doing the reseach kaka au mpaka ali kiba aseme ana nyumba fancy mansion mombasa ndio uone
HAYA ACCORDING TO FORBES JOURNAL TENA MWAKA 2016 DIAMOND ANA NETWORTH YA $ 5MILLIONS THEN ALI KIBA ANA NETWORTH YA $ 4MILLIONS THEN PROF.JAY HAS NETWORTH YA $3.5MILLIONS KAKA UWE UNAFATILIA KWANZA KABLA YA KUONGEA
 
Lazma domo akaoge maji ya Tanganyika tena

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
kwani ali kiba hajafanikiwa kaka kaka remember you dont have to a right to speak or write before doing the reseach kaka au mpaka ali kiba aseme ana nyumba fancy mansion mombasa ndio uone
HAYA ACCORDING TO FORBES JOURNAL TENA MWAKA 2016 DIAMOND ANA NETWORTH YA $ 5MILLIONS THEN ALI KIBA ANA NETWORTH YA $ 4MILLIONS THEN PROF.JAY HAS NETWORTH YA $3.5MILLIONS KAKA UWE UNAFATILIA KWANZA KABLA YA KUONGEA
Labda forbes ya mbagala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dulla na mwenzie yule anaye fanana na Harmorrapa wana chuki na Diamond hadi wanashindwa kujithibiti
 
Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Ukiona umefanikiwa kaa kimya kujifanya kujua sana matokeo yake ndo haya unachapiwa mamio,ukifungulia redio Mr.Kipusa hewani

Mwambie msanii wako mafanikio yake yanamhusu yeye na familia yake asichokoze watu akitegemea watamnyamazia kisa kafanikiwa sana diamond ndiye ovarrated+edge
 
Wimbo mzuri lakini hautasaidia kumrejeshea marinda hata akiinua vyuma.
 
Msanii anaye hit kwa sasa na hit song inayo kwenda kwa jina la seduce me Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kufunguka mengi

Alikiba amesema kila mtu anajua ubaya ambao unafanyika juu yake na ndio maana kwa kutambua hilo mashabiki wake wameweza kumuelewa na kum sapoti

Aidha alikiba amesema kuwa hujuma ambazo amefanyiwa na wenzake kutaka kuzima muziki wake wamekurupuka kwa kuwa yeye anafanya mziki mzuri na hashindani nao kwa kuwa wakushindana nao hawapo

Alikiba amesema kuwa licha ya kuwa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kutoelewana na mwanaharakati mange kimambi kwa kuwa alikiba ni kada wa ccm huku mange kimambi ni maji na moto kwa ccm .Alikiba amesema kuwa mange kimambi kwa sasa wanaelewana na shabiki yake mkubwa sana

Kwa muda wa weekend nzima mwanaharakati mange kimambi ameacha shughuli zake za kisiasa na kuamua kum sapoti alikiba kwa kupost clip mbali mbali za mashabiki wa Alikiba wakionesha ujuzi wao wa kucheza.

Kupitia hatua hiyo nyimbo ya alikiba imefanikiwa kutawala mitandaoni na kuvunja record ya kuwa na views wengi kwa muda mchache kuwahi kutokea bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa sasa waanzishe bendi za taarabu ili waimbiane mipasho tujue moja....!
 
Dulla na mwenzie yule anaye fanana na Harmorrapa wana chuki na Diamond hadi wanashindwa kujithibiti
Si kweli hakuna mtu asiependwa km ally kiba jamani humu tu jf thread kibaoooo kumponda chochote anachokifanya ni kibaya yaani mi sielewi baadhi ya watu humu nahis kama ally kawala kawatema au kawachukulia mademu zao maana daah!sio kwa chuki hizii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom