sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.
Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content.
Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.
Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?