Ali Kiba jipange kwenye content hizi drama wakati redio aina wasikilizaji ni utoto

Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.

Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content. Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.

Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
Acha kumchafua majizo na viredio vyenu hivyo, kwanza hizo radio wasafi,na crown ni vya kusaga kama hujui wewe
 
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.

Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content. Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.

Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
Elimu , elimu , elimu!
Mwanaume. mzima anaibwa?
Kwahiyo Azam walimuiba Fei, ?
Man U walimiba Ronaldo from Real Madrid?

Mwijaku si ana mkataba na huko alipokuwa na ukimtaka unavunja mkataba kisheria, unafidia na kumuajiri?
Leo hii Simba wakimtaka Ali kamwe, wanapanda dau wanamchukua, si suala la kuiba.
 
Back
Top Bottom