Ali Kiba jipange kwenye content hizi drama wakati redio aina wasikilizaji ni utoto

Mie nilishagaamua kupotezea tu. Kuna hiyo ban nikiwahi kupigwa Hadi kwenye maisha halisi mambo yakawa hayaendi 😂😂😂
Sasa jana ile ile usiku lisaa limoja baada ya ban kuisha nikamfata yule mpuuzi nikampa ukweli wake then akanishitak tena nikapigwa ban ya wiki ila nikaenda Twitter nikawaambia JF sio fair wanachonifanyia then asubuhi hii naona ban wameitoa 😂

Screenshot_20240606-012702.png
 
Sasa jana ile ile usiku lisaa limoja baada ya ban kuisha nikamfata yule mpuuzi nikampa ukweli wake then akanishitak tena nikapigwa ban ya wiki ila nikaenda Twitter nikawaambia JF sio fair wanachonifanyia then asubuhi hii naona ban wameitoa 😂

View attachment 3010017
Au ni mods haohao wanaleta nongwa Ili uwawashie tanuri wakupige ban
 
Back
Top Bottom