Ali Kiba jipange kwenye content hizi drama wakati redio aina wasikilizaji ni utoto

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.

Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content.

Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.

Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
 

Ni chuki na wivu tu
 
Mtu atoe fedha mkono wa kulia na kuweka mkono wa kushoto halafu wewe umlalamikie kweli!
 
Sio nyie mlioanza kwa kusema Crown ni Media ya Kusaga?

Basi anapeleka kwenye tawi lake, ghafla mnateseka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…