Ali Kiba jipange kwenye content hizi drama wakati redio aina wasikilizaji ni utoto

Acha kumchafua majizo na viredio vyenu hivyo, kwanza hizo radio wasafi,na crown ni vya kusaga kama hujui wewe
 
Elimu , elimu , elimu!
Mwanaume. mzima anaibwa?
Kwahiyo Azam walimuiba Fei, ?
Man U walimiba Ronaldo from Real Madrid?

Mwijaku si ana mkataba na huko alipokuwa na ukimtaka unavunja mkataba kisheria, unafidia na kumuajiri?
Leo hii Simba wakimtaka Ali kamwe, wanapanda dau wanamchukua, si suala la kuiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…