Sasa jana ile ile usiku lisaa limoja baada ya ban kuisha nikamfata yule mpuuzi nikampa ukweli wake then akanishitak tena nikapigwa ban ya wiki ila nikaenda Twitter nikawaambia JF sio fair wanachonifanyia then asubuhi hii naona ban wameitoa π
View attachment 3010017