Usipende kutukana tukana kama huna hoja hujalazimishwa kuni quote......Njia je?..pita njia za kiba uchanike koo Hahahaaaa kambaaaaf
Kutukana ni ishara tosha ya kuonyesha ni jinsi gani ulivo mweupe kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kutukana tukana kama huna hoja hujalazimishwa kuni quote......Njia je?..pita njia za kiba uchanike koo Hahahaaaa kambaaaaf
Mwingine anaringia kuzaa na mtu kama mama yake mkubwa hahahaaaa...Mmoja anamzidi mwingine vitu vingi mkuu, huyo mmoja anaringia sauti yake ya kwanza ktk kwaya ya kanisa
Amina mtumishi amina sanasana.Hiyo mistari ya Ali Kiba unasikiliza hata ukiwa na wazee,huyo mwingine hakuna kitu aibu tupu.
Na hii inadhihirisha kiwango cha busara baina yao.
Period
ALIKIBA hakuna nyimbo au video yake ambayo ikipigwa huku upo sebulen na wazaz wako itabid uindoke au ubadili Chanel siyo huyo Mtandale hakawii kuvua nguo hahahaaaa...Hao wazee kuna nyimbo za Sikinde "Ngoma ya ukae" pia DDC Mlimani zinawafaa sana tutawapa wasikilize ila hapo ukiangalia kiuandishi Diamomd ameonekana yupo vizuri zaidi ya Kiba ila mkijifanya hamuoni na hamuelewi na sisi tunajifanya tunaona na kuelewa yetu.Kuna nyimbo kama Nitarejea,Mbagala nk unaweza ukasikiliza na wazee pia
kuna shairi linaitwa "Mfereji Maringo" limeandikwa na Theobald Mvungi katika kitabu cha Chungu Tamu na wanafundishwa wanafunzi mashuleni na wazee hao hao wanasahihisha mitihani.
[HASHTAG]#kwanianjematu[/HASHTAG]
Na uandishi usiofata vina hauathiri ubora wa msanii na nyimbo,ndo mana kajiandae inasikika kila sikuIsipokuchosha ww usizani kila mtu
Embu nakuomba ukazie macho kwenye uzi ulipoanzia na sio kuleta ushabiki wa kijinga,hapo umeona wapi ameandikwa Belle 9 au huyo Barnaba.Zimewekwa pande mbili,mistari ya Ali Kiba na Diamond na mimi nikaelezea Diamond yupo vizuri kwa vigezo vyangu sasa wewe unakuja kimagurue unaanza kuandika mambo ya ajabu.Kama Ali Kiba ni zaidi kiuandishi onesha ukirejea hayo aliyoandika mleta mada na huku ukizingatia vigezo.Kama utashindwa na kuleta blah! blah! zingine itamaanisha wewe ni mmojawapo ya nyani watiifu wa mfalme nyani.Hujanya umeharaaa...uandishi barnaba ,bele,Ali kiba unawaacha wapi?..naona anakunyakunya tu hapo hamna kitu.
Acha kuwadharalilisha wazazi wako.Sasa huo wa muda wa kukaa na kuangalia tv na wazazi wako kwanini usiutumie kujadili mambo ya familia au kwanini wadogo zako wanafeli na kumtajataja Diamond tu kuliko kutumia nguvu kushika remote control na kusubiri nyimbo za Diamond zikipigwa wewe ubadilishe channel......eti! Kumbuka hakuna sehemu Diamond aliyoandika kuwa ni lazima ufuatilie nyimbo zake,sasa kwanini unajichosha?ALIKIBA hakuna nyimbo au video yake ambayo ikipigwa huku upo sebulen na wazaz wako itabid uindoke au ubadili Chanel siyo huyo Mtandale hakawii kuvua nguo hahahaaaa...
Hahahahahaaa eti inasikika labda ghetton kwako, uku kitaani tushaizikaNa uandishi usiofata vina hauathiri ubora wa msanii na nyimbo,ndo mana kajiandae inasikika kila siku
nenda kaipakue hii song ya usher ft young jeezy-love in this clubni lazima utukane ndiyo nyimbo iwe nzuri??
nenda kaipakue hii song ya usher ft young jeezy-love in this club
usikilize matusi ya humo.
............
Ruuupdaa eeeeeh
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Kwaio unafuata sauti nzurl hata mchumba wangu anayokwahiyo usher akibong'oa na wewe utabong'oa??
Ongopa tu maybe huna redio huna tv sasa sijui nabishana nn na wwHahahahahaaa eti inasikika labda ghetton kwako, uku kitaani tushaizika