Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

pumba tupu bichwa, mbona kwenye twitter kachagua wa kuwafollow?? kiazi akisoma hapo anaona sawa tu....

Hata hivyo msanii anaeongoza kuinterfere na fans wake diamond kawafollow wanaomsupport anareply na kilike pic zao na ndio maana likitokea tukio la chibu lazima wengi wamsupport kama ni usawa kusema wengine watakupa lawama mbona wakina davido anefollow watu zaidi ya elfu mbili na still haimzuii kuzisoma comments ni vitu viwili tofauti....
 

Diamond kafollow wasanii wengi sana wa Tanzania management yke yote kafollow, wasanii wa East Africa na africa kiujumla Ma Presenter . Anapata updates za nini kinaendelea wenzake wanafanya nn hiyo ndio akili kubwa.
 
diamond kafollow wasanii wengi sana wa tanzania management yke yote kafollow, wasanii wa east africa na africa kiujumla ma presenter . Anapata updates za nini kinaendelea wenzake wanafanya nn hiyo ndio akili kubwa.

tatizo bichwa ana principle za kizamani sana na kibaya fans wake nao viazii tu wanashindwa kumshauri anapoenda wrong ndio mΓ ana shows hakuna akipata koridoni au fiesta shows za laki nane wanaishia kusema chibu mashauzi / mchawi hahahahahahahaha

kuna asiyejuwa umuhimu wa kujichanganya na wenzake hasa friends of benefit??? Anaishia kuponda kwenye media kwanini watu hawampost 4real men shiiiiiiiiiiiiit
 

Ajasoma entrepreneurship huyu mziki ni biashara na biashara lazima ujenge Network/Connection na wenzako" kuto kufollow mtu is just like mtu amekupa hi then ukakausha. Act lke u dnt c. Nadhani aliingia iG kipindi kile anafuta vumbi kiti chake na Mwana iko hot bichwa likavimba aka unfollow watu wote
 
Majibu ya ajabu na yasiyokuwa na maana. Anajisikia na kunata sana huyu jamaa. Ndo maana anaishia kuwa levels za barnaba.
Na hao fans wake wajinga sana.
 
Unapo jiona bora kuliko mwenzako ndipo mwanzo wa kuwa na kiburi,dharau na jeuri na hicho ndio anacho kifanya huyu alikiba asipo badilika atakuwa msanii wa ndondo miaka yote
 
Majibu ya kisomi kabisa utadhani profesa wa Oxford au Cambridge University ndo kajibu, lakini angekuwa yule jirani yetu ungesikia sijui ambaye sijamfolow akale ndimu yan full majibu ya kiswahili.

Asante mfalme Kiba.
#Rockstar4000

Huyo wa ndimu yeye ni Profesa wa Harvard University.

Achana na ya uprofesa maana unaonekana unaandika tu na kumshusha kiba.
 
Huyu dogo mi nimeshaishiwa la kumshauri. Nimesema yoteee.

Ni wa kuacha tu, maana HAMNA NAMNA. Tumechoka.

Hili jibu ni pumba at its best... Hivi kuwa karibu na mashabiki inahitaji kuwafollow au kutowafollow!!!!

Anyweiz maana account ni yake na hakuna wa kumpangia basi afanye anavyotaka ... Kwa sababu kuna watu wenye followers milioni 20 (fanbase kubwa zaidi yake) huko ila wanafollow watu sembuse yeye mwenye 326k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…