Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Sisi tunamshukuru sana #Davido kwa kumfanya #DiamondPlatnum awe maarufu Africa.

Na pia tunamshukuru #Davido kwa kumfanya Diamond platnumz awe na #Followers kibao.

Na sie tuna mshukuru wema n mashabiki wake kwa kumuwezesha kuchukua tuzo za ktma ambazo hakustahili bila kusahau team jokate salaam ziwafikie popote walipo
 
Team kimba hamna tofauti na kibakuli, unasifia ujinga tu hapo kisa mahabaniuwe kama hivyo kwanini alalamike wasanii wenzake hawampost insta kama wanavyosupport wengine????

Isitoshe haweziongea twitter ndio kawafollow unajuwa kawafollow wangapi kule?? hata 100 hawafiki bichwa anajiona sana wakati hata nyumba tu ya kupanga anatembelea noah hahahaha, angekuwa level za diamond sijui ndio ingekuwaje??

Team nini?
Lugha za kukera kama hizi muwe mnazikumbuka.
 
Majibu ya kisomi kabisa utadhani profesa wa Oxford au Cambridge University ndo kajibu, lakini angekuwa yule jirani yetu ungesikia sijui ambaye sijamfolow akale ndimu yan full majibu ya kiswahili.

Asante mfalme Kiba.
#Rockstar4000

ujinga katika level yake
 
Sio lazima kwako ww lkn kwa msanii mkubwa kama kiba na kazi yake ya mziki ilibidi afollow baadhi ya watu kama wasanii wenzake kwa ajili ya mziki wake na kuwa updated na wenzake nn wanafanya.

Sawa mkuu .... Imenibidi niende hadi huko IG mbona naona anatoa some credit kwa ku-tag na repost ama na hii haitoshi?

Sijaona tatizo la kuto-follow sababu hajawam-follow hata mdogo ake (ila sina hakika kama yupo IG)
 


Licha ya kuwa na mashabiki wote hao, mbona hawajampigia kura #KTMA Ili ashinde ...?

Msanii unatakiwa uwe na Mashabiki wanaitwa #ROYALS..... Huenda hata wewe hukumpigia kula #KTMA alafu ukajiita eti #TimDiamond.

Pamoja na takwimu zote ulizozitoa, hujui kwamba #AliKiba ajajichukulia mashabiki wa kimataifa.

Yaani hao ni wa hapa #Bongo tu. Sasa akiamua kuwakomba mashabiki wa kimataifa si ndio itakuwa balaa.

Tumia akili hata kidogo basi.

aaahaha eti akiamua???
bhebhe nang'o

si aamue sasa??
 

Haumpendi Ali Kiba lakini cha kushangaza wote mpo humu kwenye uzi maalumu wa AliKiba......!

Mbona uzi wa Diamond Hatujafikia hata nusu ya uzi wa AliKiba.....?
Ni kwasababu huyu kijana anakubalika sana. Hata kama humkubali lakini ndani ya moyo unapenda sana.

Ndio maana wengi wenu mko humu.

#AliKiba hatumii jitihada nyingi kuvuta mashabiki ila Mashabiki wenyewe wanakuja kwake.

Abeee!? Uzi umefanyaje? Hahahaaa ndo kipimo chako cha kukubalika? Hopeless? Kwani si kule mnakosalimiana kutwa? Si kule ambako mnamdiscuss diamond?
 
Team nini?
Lugha za kukera kama hizi muwe mnazikumbuka.

hahahaha mbona kawaida tu hapo,

team Ndomo, domo, domozege, wasaaaaafi, no stress

team kibakuli, team bichwa(bichwa anaitwaga na wema sepetu) team kimba, team kibaka, k 4 real

Hizi propaganda tu na nyie mlianzisha, nashukuru sana wabunifu wametuletea A.K.A za kibabe..

DON'T TAKE IT TOO SERIOUS NI MAJINA TU, NADHANI NILITAKIWA KUONA COMMENT KAMA HIYO KIPINDI MNAMKEJELI MAMA NASEEB...

one love #teamkimba #teamkariakoo hahaha i love it,

BACK TO THE POINT, DOGO INATAKIWA AWAFOLLOW WATU INSTA ANAZINGUA KINOMA JUST OPINION
 
Maisha yake na anajua nini anafanya.
Sio lazma amfollow mtu.
Amefanya kile alichoona ni best kwake. Ana uhuru wa kufanya chochote.
Kiba gooo usiangalie wanachosema binadamu hatuishiwagi ya kusema hata angefollow watu bado tungeanza kuangalia mbona hajamfollow fulani na fulani.
Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana na hatakaa aridhike.
 
Maisha yake na anajua nini anafanya.
Sio lazma amfollow mtu.
Amefanya kile alichoona ni best kwake. Ana uhuru wa kufanya chochote.
Kiba gooo usiangalie wanachosema binadamu hatuishiwagi ya kusema hata angefollow watu bado tungeanza kuangalia mbona hajamfollow fulani na fulani.
Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana na hatakaa aridhike.

Hapa ndipo akili zako zinapokosa akili . Haya si mahaba wala ushabiki, ni ujinga. Na usifikiri waonekana mjanja au una mahaba ya kufa!? Hapana. Unaonekana kituko mbele ya waerevu.

UKUE NA UKOMAE, MLIOKOSA MFUMO RASMI WA TAALUMA. TUMIENI FURSA YA KUWEPO HAPA JF KUJITAMBUA.
 
JF namo wajinga ni wengi, yaani mtu kisa hamfollow mtu yeyote inamaana ndo kakuona wewe ni mpumbavu ! eti kisa ye ni star

Kwani Lil wayne na huyo kiba nani ni star ?
na lil wayne kafungua account na hajamfollow yeyote yule kwasabu kaamua.

155.jpg


Mastar kibao tu hawafanyi hivi, kina kanye west hawafollow mtu twetter.
 
Damn followers 320,000 n msanii wa bongo movie au photographer wa diamond?
 
Hapa ndipo akili zako zinapokosa akili . Haya si mahaba wala ushabiki, ni ujinga. Na usifikiri waonekana mjanja au una mahaba ya kufa!? Hapana. Unaonekana kituko mbele ya waerevu.

UKUE NA UKOMAE, MLIOKOSA MFUMO RASMI WA TAALUMA. TUMIENI FURSA YA KUWEPO HAPA JF KUJITAMBUA.

safi sana mkuu!...umempa za uso!
tatizo humu kuna hadi 'mahausigelo' sidhani kama atakuelewa,ila bonge la ushauri umempa!
 
Mi sijaelewa mantiki ya majibu ya king ebu wanaosema amejibu kisomi mnieleweshe amemaanisha nini? Cc. Shardcole

Nilidhani ni mimi peke yangu ambaye sijaelewa. Amejibu kindezi sana. Ali Kiba anajisikia sana, hata ukimuona anavyoongea anaonekana ni mtu wa aina gani. Hata kina Drake, Niki Minaj wana follow watu, huyu ni nani asiefollow watu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom