Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Nilidhani ni mimi peke yangu ambaye sijaelewa. Amejibu kindezi sana. Ali Kiba anajisikia sana, hata ukimuona anavyoongea anaonekana ni mtu wa aina gani. Hata kina Drake, Niki Minaj wana follow watu, huyu ni nani asiefollow watu?

Mie nimesoma maneno ya mwandishi sijaelewa ... Nikasoma post ya chini naona ananichanginyi in Bambo's voice
 
Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao
+Kina nani hao unaofanya nao kazi wengi mpaka ushindwe kuwafollow, au hujui wewe kama msanii kudeal na social networks ni sehemu ya kazi yako?

+sasa hao waandishi wa habari ambao hawajakufolo ndo wasijue nini kinaendelea kuhusu kazi zako?
lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu
+mmh KingKiba watu gani hao wa media waliokushauri usifolo watu teh teh au waandishi wa global
na vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja
+duh hii kali kwa hiyo kwa kutokufolo watu ndo utajipromote vizuri zaidi? kivipi yaani mkuu kiba sijakuelewa hapa ujue
ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha
+kwa hiyo ukifolo watu muhimu hautaconcentrate Mkuu kivipi yaani?

+kwa hiyo ukifolo watu hutapata chance ya kuongea na mafans wako?

+++wanaokutetea kwa hili hao sio mashabiki wako wa kweli.
 
Sawa mkuu .... Imenibidi niende hadi huko IG mbona naona anatoa some credit kwa ku-tag na repost ama na hii haitoshi?

Sijaona tatizo la kuto-follow sababu hajawam-follow hata mdogo ake (ila sina hakika kama yupo IG)

Kirefu cha IG ni nini mkuu
 
Huyu jamaa ananyodo sana ndo maana hafanikiwi, kwani hadi uwafollow wabongo hata wanamuziki wakubwa wa ulaya na africa hamna anaye mhusudu ??
 
Big big mistake! Ndio maana Diamond anawaacha mbali sana watu kama hawa! Wanashindwa hata kutumia fursa zilizomo viganjani mwao! Na kujitetea badala ya kukubali ukweli na kubadilika! Diamond ataendelea kuwagalagaza milele kwa ugumu huu wa kuelewa dunia inavyoenda Lol!
 
Duuuuuuuuuuuh, hii nayo kali ndo king wa vichaa huyu
 
Tusianze mambo yakunationalize watu kwamba huyu ni mzungu basi afanye hiki na huyu ni mwafrika basi afanye hiki,
ingekuwa ni hivyo basi ungeanza kuwakataza hao mabidada wanaovaa kama wazungu huko mitaani (nusu utupu)
na hii ndio maana ya grobalized world, kitu anachokifanya Chriss brown nae Alikiba anaweza fanya.

Wameishacopy sana mambo wanayofanya hao unaowaita wazungu yet they're Black,
Mavazi, Miziki na Tamaduni pia sasa kwanini wasifanye kama hili alilolifanya Kiba ?

Kwa swala lakucategorize btn black and white kwangu mimi haliwezi kufanya point zako ziwe Legitimacy.

Kwasabu kafanya mtanzania ndomana wengi wanachonga sana, suo labda kwasababu zakijinga tu kama kujiona mjinga yule anaemfollow, bali pia na Chuki binafsi zilizo ndani ya mioyo yao.

+No mkuu kwa utetezi huu unampoteza Ali, yaani kwa levo gani ya mziki wa bongo tuliofukia mpaka wasanii wetu waanze kuiga nyodo za wasanii wa marekani? Msanii kama lil Wayne anaweza hata akazitukana media lakini akitoa single leo hii dunia nzima itajua!

+halafu kumbuka sio kila kitu kinachofanywa na wasanii watukutu wa marekani kinafaa kuigwa, mfano marekani kuna wasanii mashoga, haya na wewe msanii wa bongo utaiga eti kwa sababu hakuna limitation ya kuiga vitu?

+mnatetea tu kuiga vitu visivyo na faida bila kulinganisha na situation yetu ya bongo,

+embu kabla ya kutetea jiulize kati ya msanii kufolo watu muhimu kwenye industry ya muziki na kutokufolo kipi kina faida zaidi?

+Embu nipe faida ya kuacha kufollow watu kwa msanii anayestruggle kufanikiwa zaidi kama Kiba. Nini faida yake?
 
Jaribu kutumia hiyo hiyo akili ndogo kufikiria,
-We unadhani Alikiba haoni faida zakutokufollow watu ?
-Angekuwa anaona haina faida si angeanza kuwafollow basi.

-Kila mtu anafanya kitu kwa muono wake yeye, faida unazozipata wewe kwenye kitu flani sio lazma zilingane na mimi.

-Faida zake muulize alikiba mwenyewe,
Ila faida mojawapo ni kama hii hapa mnayopoteza muda kukuza jina lake kwamba hafollow watu, kumbe ndivyo anavyoongeza fans.
 
+me nikajua kuna faida nyingi kuliko hasara ambazo nyinyi mnaomtetea mnazijua kumbe hamna,

+ndo maana me naona hamna faida yoyote, embu angalia huo utetezi wake hapo ameeleza nini cha maana?

+halafu suala la kumjadili, yeye ni celeb so sisi tunaopenda mziki wa bongo lazima tumjadili na wala sio tunamuamulia cha kufanya,

+halafu kama faida mojawapo ndo hii ya kujadiliwa na watu 10 or 20 wa JF ndo faida yenyewe, sawa mkuu sijabisha
 
Ndio maaaanaa yupo miaka 18 kwenye game na bado UNDERGROUND,yaani wasanii wote matajiri na ni maarufu ye anawaona hawana akili kwa kuwa-follow fans wao.HUYU KWELI NI KING WA VICHAA.
 
we kinabo umetumwa?????

hakuna aliyenituma mkuu,ila mmezidi sana kusimanga na kumtuka kiba.yani huwa najisikia vibaya sana nikiona mtu anamkatisha tamaa kiba.why why this every day jamani.

Embu tumpe moyo na tupende kazi zake,ili azidi kutupa vitu vizuri,lakini tukianza kumsimnga yakwamba hawezi au sijui anaiga au anajitutumua ili aonekane kama fulani.

Please tusifanye ivyo hata kama humpendi.

I love u kiba ,na nitakutetea popote pale nitakapo kuwepo.
 
unafikiri kwanini ni yeye??

Anajiona sana tatizo, alianzisha ye mwenyewe mara oooh kizuri kikikosekana kibaya kinaonekana kizuri, nimekuja kufuta vumbi kiti changu, king is back maneno ya shombo kinoma mtu mwenyewe uwezo hana...

Mziki wa Tanzania unatambulika Afrika na baadhi ya maeneo duniani kupitia Diamond, lakini hata siku moja hajawahi kuongea shombo hizo kuwa yeye ndio king na hakuna anayemfikia....

Atasugua sana bench asipobadilika, mafanikio hayaji kimagumashi kihivyo coz hii attention anayopata kutokana na bifu itaisha sio mda coz mpaka sasa kashashindwa kuvaa hata namba 2 ya ukali Tz
 
unafikiri kwanini ni yeye??

Anajiona sana tatizo, alianzisha ye mwenyewe mara oooh kizuri kikikosekana kibaya kinaonekana kizuri, nimekuja kufuta vumbi kiti changu, king is back maneno ya shombo kinoma mtu mwenyewe uwezo hana...

Mziki wa tanzania unatambulika afrika na baadhi ya maeneo duniani kupitia diamond, lakini hata siku moja hajawahi kuongea shombo hizo kuwa yeye ndio king na hakuna anayemfikia....

Atasugua sana bench asipobadilika, mafanikio hayaji kimagumashi kihivyo coz hii attention anayopata kutokana na bifu itaisha sio mda coz mpaka sasa kashashindwa kuvaa hata namba 2 ya ukali tz

naona hadi povu limekutoka.

Sasa mbona unaandika mipasho?,embu soma vizuri point yangu then ulinganishe na utumbo ulio andika.hatupo hapa kumkosoa mtu au kumkatisha tamaa mtu,please note ,tupo hapa kwa ajiri ya kuleta mafanikio ya kiba na wasanii wengine.
Ivi leo hii nikikwambia unaakili za kitoto huwezi kunishauri,unafikiri kesho unaweza mshauri mtu mwingine tena???.

Tusimkatishe tamaa huyu kijana.
 
Habari wakuu' nimekuwa nikiwasapoti wasanii wote wa tz. Bila kuwa na team ila kwa hili la Alikiba kuto kum follow mtu hata mmoja kwa kweli,
Ni aibu nimejarbu kucheki accout za watu maarufu tofauti tofauti ila huyu jamaa hii ni kujishusha thamani

Ushauri wangu badilika brother

Ww kama una team yako na una povu au upepo wako mpigie alikiba mwambie aku follow

Chinekeee
1481240523122.png
 
Sio kila mtu ana hobby na mitandao, ndomaana kaamua kufanya hivo
 
Back
Top Bottom