mazagazagaa
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 290
- 209
Mkuu Ali kiba ni KING, toka lini king akahangaika ku-kufuata(ku-mfollow mtu) yeye kazi yake ni kutoa amri na ma-pimbi ku-mfuata.. Ali Kiba ni mkubwa zaidi ya kila kitu, ni mkubwa zaidi ya tuzo zote.. Ali kiba ni king..hawezi kuhangaika kuwa- follow ma-pimbi/misukule wake..Habari wakuu' nimekuwa nikiwasapoti wasanii wote wa tz. Bila kuwa na team ila kwa hili la Alikiba kuto kum follow mtu hata mmoja kwa kweli,
Ni aibu nimejarbu kucheki accout za watu maarufu tofauti tofauti ila huyu jamaa hii ni kujishusha thamani
Ushauri wangu badilika brother
Ww kama una team yako na una povu au upepo wako mpigie alikiba mwambie aku follow
ChinekeeeView attachment 444096