imamuAbasi
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 204
- 43
Gas hii ina sambaa mbali sana yani Carbondioxide jamaa anatoa video kali shabashi jana dar live ni aibu kilichotokea
Domo hilo ndio mungu kampa na linamuweka mjini sasa wewe mungu aliyekupa mdomo mzuri unautumiaje kukupa hela.Au ndio bado unalala kwenu mabanda ya uani?Mi niache mambo yangu nikaangalie lile domo [emoji2] [emoji2] [emoji2] na sarakasi mi nilipita njia tu
Acha ujinga hii kitu haikuhusu au unajifundisha ku quote ??Domo hilo ndio mungu kampa na linamuweka mjini sasa wewe mungu aliyekupa mdomo mzuri unautumiaje kukupa hela.Au ndio bado unalala kwenu mabanda ya uani?
Jiangalie wewe na mimi nani wakuja humu.Umenunuliwa simu juzi baada ya kufaulu form four unaanza kusumbua.Wewe huna mdomo?Utoto unakusumbua bado.Acha ujinga hii kitu haikuhusu au unajifundisha ku quote ??
Mtu mwenyewe umejiunga juzi tu tena kwa kutumia MB za shemeji yako ndio uje usumbue humu.Tulia kijana comment mengine ila sio kudharau uumbaji wa mungu we mwenyewe unazo kasoro au sababu hujaambiwa.Acha ujinga hii kitu haikuhusu au unajifundisha ku quote ??
Mbona unaongea pumba sasa kujiunga kuna husiana na nini na hii comment acha viroba kijanaMtu mwenyewe umejiunga juzi tu tena kwa kutumia MB za shemeji yako ndio uje usumbue humu.Tulia kijana comment mengine ila sio kudharau uumbaji wa mungu we mwenyewe unazo kasoro au sababu hujaambiwa.
Ukikua utaacha.Mbona unaongea pumba sasa kujiunga kuna husiana na nini na hii comment acha viroba kijana
Au na wewe una domo nini ? Hilo jina kila mtu anatumia sasa we sijui umeanza lini kufuatilia mziki na kwenye nyimbo ya nay wameimba hilo domo tatizo nini?
Unaongozwa na hisia tatizo.Hapa wadau tuangalie Hit Song zake tangia ujio wake Wa "THE RETURN OF THE KING"
-Tangia ajiite KING ameehit song moja tu ya mwana.I do think kuna Song ambayo imeehit tofauti na Mwana?
Zaidi ya hapo kubebwa na Mafwans' wake.
-Nagharamia ndo hakuna kitu Bali kuna ngonjera tu na mariwaya yaziozingatia Fasihi kwa Ujumla.