ALI KIBA Kimziiki kwisha kabisaa!!

ALI KIBA Kimziiki kwisha kabisaa!!

Mi niache mambo yangu nikaangalie lile domo [emoji2] [emoji2] [emoji2] na sarakasi mi nilipita njia tu
Domo hilo ndio mungu kampa na linamuweka mjini sasa wewe mungu aliyekupa mdomo mzuri unautumiaje kukupa hela.Au ndio bado unalala kwenu mabanda ya uani?
 
Ali Kiba is overrated, hana nyimbo nzuri na hajuwi kutunga. Jokate anajaribu kumtungia ili apate chati wapi, bila kuroga huyu jamaa angekuwa anauza njugu tu vituoni.
 
Kama wew ni wa kiume jichungulie pengine jinsia yako imebadilika....
Umekaa kichakubimbi chakubimbi kama unataga vile...
 
Domo hilo ndio mungu kampa na linamuweka mjini sasa wewe mungu aliyekupa mdomo mzuri unautumiaje kukupa hela.Au ndio bado unalala kwenu mabanda ya uani?
Acha ujinga hii kitu haikuhusu au unajifundisha ku quote ??
 
Acha ujinga hii kitu haikuhusu au unajifundisha ku quote ??
Jiangalie wewe na mimi nani wakuja humu.Umenunuliwa simu juzi baada ya kufaulu form four unaanza kusumbua.Wewe huna mdomo?Utoto unakusumbua bado.
 
Acha ujinga hii kitu haikuhusu au unajifundisha ku quote ??
Mtu mwenyewe umejiunga juzi tu tena kwa kutumia MB za shemeji yako ndio uje usumbue humu.Tulia kijana comment mengine ila sio kudharau uumbaji wa mungu we mwenyewe unazo kasoro au sababu hujaambiwa.
 
Mtu mwenyewe umejiunga juzi tu tena kwa kutumia MB za shemeji yako ndio uje usumbue humu.Tulia kijana comment mengine ila sio kudharau uumbaji wa mungu we mwenyewe unazo kasoro au sababu hujaambiwa.
Mbona unaongea pumba sasa kujiunga kuna husiana na nini na hii comment acha viroba kijana
Au na wewe una domo nini ? Hilo jina kila mtu anatumia sasa we sijui umeanza lini kufuatilia mziki na kwenye nyimbo ya nay wameimba hilo domo tatizo nini?
 
Ukikua utaacha.
 
Kama #King Zamunda ana kipaji why hashiki mshukani kwa @Bongoflavor?
 
Hapa wadau tuangalie Hit Song zake tangia ujio wake Wa "THE RETURN OF THE KING"
-Tangia ajiite KING ameehit song moja tu ya mwana.I do think kuna Song ambayo imeehit tofauti na Mwana?
Zaidi ya hapo kubebwa na Mafwans' wake.
-Nagharamia ndo hakuna kitu Bali kuna ngonjera tu na mariwaya yaziozingatia Fasihi kwa Ujumla.
Unaongozwa na hisia tatizo.
Nakushauri achana uzungu tumia lugha fasaha ya Kiswahili udhihirishe Utanzania wako na kujivunia Uafrika wako.
AMKENI_2016
 
Back
Top Bottom