Ali Kiba kortini matunzo ya mtoto

hebu rejea maneno ya zabibu Kiba...mkuu "" za bibu kasema kuwa siuliambiwa ukapime DNA wich means "" nimaneno yaliyotamkwa na huyo aliyepelekewa mashtaka mahakamani..."" any way "" kwakuwa jambo limeshafika ktika mikono ya sheria...acha tukiachie chombo cha usimamizi kitoe hukumu Yke itakayokuwa ya haki
 
Huwezi kuwa na mashaka na demu kisha ukapiga bila kinga. That's a big lie. DNA haidawi Instagram , jukumu ni la baba kwenda kucheki
hahaaa "" wewe umepiga mademu wangapi bila kinga ..licha ya kuwa unamashaka nao "" hahaaa wabongo kwa unaa tunatisha
 
wewe hata haunisumbui ..naijua Rangi yko vyema ..nayajua mahaba yko yameegemea wapi ""?! yaani hata ktika masuala kama haya mnaleta utimu"" aisee...wabongo baadhi yenu king'amuzi kimeisha kifurushi aisee
 
wewe hata haunisumbui ..naijua Rangi yko vyema ..nayajua mahaba yko yameegemea wapi ""?! yaani hata ktika masuala kama haya mnaleta utimu"" aisee...wabongo baadhi yenu king'amuzi kimeisha kifurushi aisee
Hoja inatakiwa kuwa anatoa matunzo au lah? mtoto ni wake au lah? Hayo mengine sijui utimu si ya msingi
 
duh kiba gubu mgumu kama mavi makavu yani laki 4 na 60 tu anashindwa kulipa kudadadadadadadeki..
 
Hoja inatakiwa kuwa anatoa matunzo au lah? mtoto ni wake au lah? Hayo mengine sijui utimu si ya msingi
hahaa hawezi kutoa matunzo kwa mtoto ambaye hana Uhakika kuwa ni damu yke " na pia hatuwezi kusema kuwa mtoto niwake "" maana kama mpka Dada Yke amediriki kusema maneno yle kuwa mtoto akapimwe damu "" inaonyesha wazi kuwa kaka yake ambaye ndiye muhusika mkuu alishawahi kuwaambia mashaka yake aliyonayo dhidi ya huyo mtoto "" so mimi na wewe hatuna Uhakika kuwa mtoto niwake "" maana hata hao wanafamilia na muhusika mkuu wameonyesha walakini " mimi na wwe huo Uhakika tunautoa wapi ?? alikiba anawatoto wengi ambao amezaa na wanawake tofauti "" haiwezekani akubali kuwalea wengine licha ya kuwa wametofautiana wazzi halafu amkatae huyu malaika wa Mungu bila ya kuwa na sbabu za msingi..lazima ipo namna tu """tusubiri kuona maamuzi ya mahakama
 
How about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
KUZAA Tanzania KUOA Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi,Kongo hapa Tanzania tunapiga JARAMBA tu,lazima MSHIKE ADABU kwanza.
 
We team kiba/kipusa upo??
 
watu wakumsaidia kutumia zile hela za Azam ndo hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…