Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
DiamondKuna mtu yuko nyuma yake huyo mazazi wa Kiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DiamondKuna mtu yuko nyuma yake huyo mazazi wa Kiba
hebu rejea maneno ya zabibu Kiba...mkuu "" za bibu kasema kuwa siuliambiwa ukapime DNA wich means "" nimaneno yaliyotamkwa na huyo aliyepelekewa mashtaka mahakamani..."" any way "" kwakuwa jambo limeshafika ktika mikono ya sheria...acha tukiachie chombo cha usimamizi kitoe hukumu Yke itakayokuwa ya hakiWaende wakadai sasa mahakamani kwenye case ...DNA haidaiwi kama unadai hela za vikoba kuna taratibu wasubiri Alikiba akadai sio wao....wao hawana haki ya kudai DNA na hakimu atatoa maamuzi kama ikapimwe au lah ...itategemea na Alikiba atavyo jenga hoja wala si familia yake....Huyo dada alitembea na Alikiba hakutembea na Familia ya Alikiba kwa hiyo wanadai wasivyo na haki navyo...
hahaaa "" wewe umepiga mademu wangapi bila kinga ..licha ya kuwa unamashaka nao "" hahaaa wabongo kwa unaa tunatishaHuwezi kuwa na mashaka na demu kisha ukapiga bila kinga. That's a big lie. DNA haidawi Instagram , jukumu ni la baba kwenda kucheki
wewe hata haunisumbui ..naijua Rangi yko vyema ..nayajua mahaba yko yameegemea wapi ""?! yaani hata ktika masuala kama haya mnaleta utimu"" aisee...wabongo baadhi yenu king'amuzi kimeisha kifurushi aiseeAmeambiwa na nani na ni lini? acha story za vijiweni....kama ameambiwa tutajua maana mahakama itatoa amri tena kama Kiba atakana mtoto siyo wake...Huyo Zabibu anaongelea DNA kama kuvaa dela vile halafu anaye paswa kusema hayo ni Kiba na aseme ni lini yalitolewa maamuzi hayo na atasema mbele ya mahakama....
Hoja inatakiwa kuwa anatoa matunzo au lah? mtoto ni wake au lah? Hayo mengine sijui utimu si ya msingiwewe hata haunisumbui ..naijua Rangi yko vyema ..nayajua mahaba yko yameegemea wapi ""?! yaani hata ktika masuala kama haya mnaleta utimu"" aisee...wabongo baadhi yenu king'amuzi kimeisha kifurushi aisee
Hahah. Bei twice as much hela ya matumizi anayoomba bidada. Karo inazidi fee ya Masters degree UDSM😀hahaa bei iliyochangamka
hahaaa "" wewe umepiga mademu wangapi bila kinga ..licha ya kuwa unamashaka nao "" hahaaa wabongo kwa unaa tunatisha
Kweli mkuuMaisha hatufanani mkuu
Dah!Nyie ni wakutundika mimba tu ndoa mtasikia redioni na kutazama kwenye tv
haha hahaaa...sasa ."" sianaweza hata akafilisi huyuHahah. Bei twice as much hela ya matumizi anayoomba bidada. Karo inazidi fee ya Masters degree UDSM😀
hahaa hawezi kutoa matunzo kwa mtoto ambaye hana Uhakika kuwa ni damu yke " na pia hatuwezi kusema kuwa mtoto niwake "" maana kama mpka Dada Yke amediriki kusema maneno yle kuwa mtoto akapimwe damu "" inaonyesha wazi kuwa kaka yake ambaye ndiye muhusika mkuu alishawahi kuwaambia mashaka yake aliyonayo dhidi ya huyo mtoto "" so mimi na wewe hatuna Uhakika kuwa mtoto niwake "" maana hata hao wanafamilia na muhusika mkuu wameonyesha walakini " mimi na wwe huo Uhakika tunautoa wapi ?? alikiba anawatoto wengi ambao amezaa na wanawake tofauti "" haiwezekani akubali kuwalea wengine licha ya kuwa wametofautiana wazzi halafu amkatae huyu malaika wa Mungu bila ya kuwa na sbabu za msingi..lazima ipo namna tu """tusubiri kuona maamuzi ya mahakamaHoja inatakiwa kuwa anatoa matunzo au lah? mtoto ni wake au lah? Hayo mengine sijui utimu si ya msingi
KUZAA Tanzania KUOA Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi,Kongo hapa Tanzania tunapiga JARAMBA tu,lazima MSHIKE ADABU kwanza.How about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
We team kiba/kipusa upo??kwani huyo demu alikuwa ana liwa na alikiba pekee...kitendo cha wana familia kuomba DNA kinaonyesha kuwa wanamashak na mtoto kutokana na mienendo aliyokuwa nayo mama YAKE....mambo ya kusakiziana Watoto kwaajili ya kupata nafuu ya maisha ..mwisho ileje aisee..
hahaaa mimi sina team ila huwa na simma kwenye hki tu mkuu"" iwe kwa team yoyote ileWe team kiba/kipusa upo??
kweli kabisaKUZAA Tanzania KUOA Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi,Kongo hapa Tanzania tunapiga JARAMBA tu,lazima MSHIKE ADABU kwanza.