bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,426
Mlandula akili zako zinawaza odds nn. Hiyo ni odds ya kiba kumlea mwanae. Sifa ya odds 1.41 haitoagi kabisa. So hapo mwanamke ajue hapati hata sh 10 ya matunzoHii 1.41 ndiyo kitu gani labda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlandula akili zako zinawaza odds nn. Hiyo ni odds ya kiba kumlea mwanae. Sifa ya odds 1.41 haitoagi kabisa. So hapo mwanamke ajue hapati hata sh 10 ya matunzoHii 1.41 ndiyo kitu gani labda?
Kumbe ndivyo ilivyo?Mlandula akili zako zinawaza odds nn. Hiyo ni odds ya kiba kumlea mwanae. Sifa ya odds 1.41 haitoagi kabisa. So hapo mwanamke ajue hapati hata sh 10 ya matunzo
naona huyu bidada povuuuu linamtoka mpaka anashindwa kutenganisha sentensi 7bu ya kimuhemuhe
eti mtoto wa king inabidi asome intanashono skuli.Ada gani baba mwenye nyumba kasema elimu bure!
Hilo ndio tatizoWachache sana. Hatujui kufikiri sawasawa wengi wanaongozwa na mihemko.
Tatizo la Ali anatembelea nyota ya Chibu,kila anapopita chibu naye humo humo...naskia na hii nayo imepangwa teh teh tehMzazi mwenza wa msanii Ali Kiba, Hadija Hassan amefungua kesi ya madai dhidi ya msanii huyo baada ya kumtelekeza tangu mwaka 2017.
Kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kwa msaada wa Kituo cha wanawake cha kisheria WLAC ambapo dada huyo anadai kulipwa milioni 1.41 ikiwemo matunzo(460,000) na ada kwa mtoto(950,000).
Dada huyo kabla ya kwenda mahakamani aliwahi kulalamika kwenye mtandao wa Instagram na ku-expose SMS kati yake na Ali zikionesha Ali akimjibu (kwa dharau) kuwa kama anataka matunzo ampeleke mtoto nyumbani kwao Ilala.
Hadija alionesha kukataa suala hilo akidai nyumbani kwa mama Ali si sehemu salama kwa mwanae wa kike sababu nyumba iko karibu na gereji bubu kadhaa na ni nyumba ya jumuiya ambapo kila mtu anaingia wakati wowote na kuhofia mwanae kutendewa vitendo visivyofaa.
Zabibu Kiba ambaye ni dada wa Ali alijitokeza na kumshukia dada huyo akisema kwao si nyumba ya jumuiya kama inavyosemwa na kwamba siku zote mtoto amekuwa akienda likizo hapo na mama yake hajawahi kulalamikia hilo.
Zabibu alienda mbali zaidi na kusema mbona mama huyo anakataa kufanya DNA kama ilivyotakiwa ustawi wa jamii? Na kwa nini alimwambia mtoto kuwa ana baba mwingine na Ali si baba yake?
Huyo binti utegemezi umemzidi...ipo siku atalianzisha tu kwa Amina binti MombasaAlikiba atoe matunzo ya mtoto kwa usalama wake na akubali kuyamaliza nje ya mahakama maana case ikienda mahakamani kabisa Alikiba kamwe hatoweza kushinda.....
Halafu huyo mdogo wa Alikiba so called Zabibu ana mdomo mrefu kama rula naona anaongea sana kuzidi anaye daiwa kutia mimba ni bora anyamaze na yeye amtafute mwanaume wa kumzalisha.
Viburi vimewazidiHow about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
Ujinga wa Kiba amezaa hovyo ...
Na hii si kesi ya kwanza. Nyingi zaja.
Alieimba "Endless Love" na Luther Vandross (RIP) au unamaanisha mwingine?Unamjua Maria Carey?
Yaani hata hadhi ya jina "Mwanamke" hawastahili!!Sisi wanawake wakati mwingine hatujitambui hatujitambui kabisa. Ngoja niishie hapa kwa leo.
Sheria ya mtoto ipo wazi kabisa kuwa mahakama inaweza kuamua mzazi atoe matunzo kulingana na pesa anayo ingiza au hali yake ya kiuchumi...460000? Sheria gani hiyo?
Huo mshahara was mtu kabisa.
Kama sheria iko hivo wanawake wengi wasingelea watoto eke yao
Kwani kuzaa mnalazimishwa? Wengine mnazaa kwa kutaka mafunzoHow about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
Nyie ni wakutundika mimba tu ndoa mtasikia redioni na kutazama kwenye tvHow about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.