The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
akimuahidi.Labda jamaa alikuwa anamchojoa akimhaidi kumuoa.... kaona jamaa kaoa kajua anazingua... hii dunia ina mambo ya ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akimuahidi.Labda jamaa alikuwa anamchojoa akimhaidi kumuoa.... kaona jamaa kaoa kajua anazingua... hii dunia ina mambo ya ajabu sana
..ambapo dada huyo anadai kulipwa milioni 1.41 ikiwemo matunzo(460,000) na ada kwa mtoto(950,000).
Mbona hakwenda kwa makonda VP anaogopa kupima DNA
akimuahidi.
huyo Dada si kaambiwa ampeleke mtoto akapimwe DNA kinachomfnya aruke ruke kama popcorn ninin ?? apambane na hali yake aisee..Acheni kuchukulia kirahisi rahisi. Kiba anatakiwa athibitishe kama anatoa matunzo kwa mwanae au amuombe waongee nje mahakama. Hawezi kumchukua mtoto kutoka kwa mamaake kirahisi kama mnavyofikiria.
akapime vinasaba kwanza ...hakuna Janja Janja hapa..."" pesa ngumu ati "" mambo ya kusingiziana Watoto kisa kaona kitonga yafeHow about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
haha hahaaSasa matunzo ya mtoto kwa miaka 5 ni shilingi laki nne? Hiyo hela nampa Mama Gaude kwa matuzi ya wiki tu. Hawa watoto wa ma-super star wa Bongo wana maisha magumu sana.
kumbe "'!! hahaaa...sasa kwani walilazimishwa kuzaa" NYOTA YA KIJANI HAWAIJUI AU ..?Hao mahakimu wawe serous kwenye maamuzi. Uzalishe wasichana wa nyumbani kuoa nje. Ni uzalilishaji mkubwa.
afadhali umenena ...usikute wakati anachanuliwa miguu alikuwa anafurahi kabisa...kuwa ana chanuliwa na super star...mambo yamemuendea Kombo anapagawa sasa...""Sisi wanawake wakati mwingine hatujitambui hatujitambui kabisa. Ngoja niishie hapa kwa leo.
hahaa kwahiyo hilo kwako ni sherehe ?HAKUNA UTIMU jamaa mahakamani kama mondi
haha hahaaaNa hii habari itatrend kuliko ya magu kuzindua vyoo
hahaa aiseeeeMlandula akili zako zinawaza odds nn. Hiyo ni odds ya kiba kumlea mwanae. Sifa ya odds 1.41 haitoagi kabisa. So hapo mwanamke ajue hapati hata sh 10 ya matunzo
kwani huyo demu alikuwa ana liwa na alikiba pekee...kitendo cha wana familia kuomba DNA kinaonyesha kuwa wanamashak na mtoto kutokana na mienendo aliyokuwa nayo mama YAKE....mambo ya kusakiziana Watoto kwaajili ya kupata nafuu ya maisha ..mwisho ileje aisee..Zabibu Kiba wenyewe mbayaaa, pua kama bata. Aombe DNA kwani kakaake alivyokatika yeye alishika upaja?
hahaa bei iliyochangamkaWadada wengi waliozalishwa nje ya ndoa sijui kwanini wanakimbizia watoto kwenye shule za bei iliyochangamka?
huyo Dada si kaambiwa ampeleke mtoto akapimwe DNA kinachomfnya aruke ruke kama popcorn ninin ?? apambane na hali yake aisee..
Ameambiwa na nani na ni lini? acha story za vijiweni....kama ameambiwa tutajua maana mahakama itatoa amri tena kama Kiba atakana mtoto siyo wake...Huyo Zabibu anaongelea DNA kama kuvaa dela vile halafu anaye paswa kusema hayo ni Kiba na aseme ni lini yalitolewa maamuzi hayo na atasema mbele ya mahakama....huyo Dada si kaambiwa ampeleke mtoto akapimwe DNA kinachomfnya aruke ruke kama popcorn ninin ?? apambane na hali yake aisee..
kwani huyo demu alikuwa ana liwa na alikiba pekee...kitendo cha wana familia kuomba DNA kinaonyesha kuwa wanamashak na mtoto kutokana na mienendo aliyokuwa nayo mama YAKE....mambo ya kusakiziana Watoto kwaajili ya kupata nafuu ya maisha ..mwisho ileje aisee..
Waende wakadai sasa mahakamani kwenye case ...DNA haidaiwi kama unadai hela za vikoba kuna taratibu wasubiri Alikiba akadai sio wao....wao hawana haki ya kudai DNA na hakimu atatoa maamuzi kama ikapimwe au lah ...itategemea na Alikiba atavyo jenga hoja wala si familia yake....Huyo dada alitembea na Alikiba hakutembea na Familia ya Alikiba kwa hiyo wanadai wasivyo na haki navyo...kwani huyo demu alikuwa ana liwa na alikiba pekee...kitendo cha wana familia kuomba DNA kinaonyesha kuwa wanamashak na mtoto kutokana na mienendo aliyokuwa nayo mama YAKE....mambo ya kusakiziana Watoto kwaajili ya kupata nafuu ya maisha ..mwisho ileje aisee..
Wanadhani ni mchanga wa mtonihivi watu wanavyoropoka hizo hela inakuwaje kwani
We nae acha misifa mkuuSasa matunzo ya mtoto kwa miaka 5 ni shilingi laki nne? Hiyo hela nampa Mama Gaude kwa matuzi ya wiki tu. Hawa watoto wa ma-super star wa Bongo wana maisha magumu sana.