Ali Kiba Kupanda jukwaa moja na Nick Minaj Septermber

unalijuwa soko la vigazeti hivi ni wa watu wa aina gani? wapika pilipili, wakaanga maandazi na mabeki 3 bila kusahau wacheza vigodoro.

kweli kabisa na watu ambao hawana mda na kushughulisha bongo zao
 

Povu...........
 
sijui ataimba nyimbo gani wallah !

kama namuona vile mzee wa ''Pop it in'' Alikiba mchizi wa bongo tanzanian boy.....................'''


On a serious note:

Bora Muhando, anaeuza 100mil per album: Ally K ................mmmmh!

Au ndio mbuyu unaanza kama..................!

TUPO:
 
unalijuwa soko la vigazeti hivi ni wa watu wa aina gani? wapika pilipili, wakaanga maandazi na mabeki 3 bila kusahau wacheza vigodoro.

Mimi ni beki tatu ... naangukia kwenye hilo kundi lol!
 
Hahahaha mr confident bora umeliona ilo.kiba alikua anachipukia.alipofikia size ya mnazi akakatwa!!!
 
ila aly msiri sana wa
mambo yake mi ndo man nampenda sana kila la kheri kaka cha msingi sa hv ufanye kweli!

Anafanya mziki kimyakimya? Basi atakua mwanamuziki wa ajabu sana!..na nyinyi ndio mnaomtia ujinga mpaka anapotea na kipaji chake wakati diamond anatoka kwa ujuaji na mbwembwe zake. Ukweli diamond kamwwcha mbali sana kiba japo kiba ana kipaji kumzidi diamond. Acheni kumpumbaza mwambieni atumie hizo nafasi kujitangaza.
 
Anafanya mziki kimyakimya? Basi atakua mwanamuziki wa ajabu sana!..na nyinyi ndio mnaomtia ujinga mpaka anapotea na kipaji chake wakati diamond anatoka kwa ujuaji na mbwembwe zake. Ukweli diamond kamwwcha mbali sana kiba japo kiba ana kipaji kumzidi diamond. Acheni kumpumbaza mwambieni atumie hizo nafasi kujitangaza.



Washangae hao
 
Bora akatumbuize huko nje maana sasa hivi hit song litakuwa dushelele ila huku bongo nyimbo zake zimesha expire compare to Domo atajaza watu ndani na nje maana song zake zna hit
 

kujitangaza kwa makashfa na mauongo...?mbona ay anafanya mziki na anajulikana ba .makashfa na mauongo uongo mbona kiba kpnd anavuma hakuvuma na maujinga ujinga km diamond na mikashfa na km ustaa kuwa womanizers na kua muongo muongo am soryyyyyyy......!!!!
 

Yaaaan we unaishi dunia ya wap.ivi uko mtoni ni msanii gani asie na kashfa mtaani??yaaan kama hujielewi...wasanii wa nyimbo za injili tu skendo kbao sembuse daimond.kiba kwan ye hana skendo mbna ya lulu hayajasemwa??hapa tunazngumzia kuhit kw msanii sasa.daimond ni mjanja.anatumia posible means kuhit.wacha ali kiba awe msiri atumbuize misukule .
 

Mkuu mpotezee jamaa hajui analoongeaaa...usibishane nae ila uukweli ni kwamba message sent na viroho vinawauma
 
Ali Kiba's 30 Greatest Hits

1. Kuteseka ft Dully Sykes
2. Sikuoni ft Abby Skill & Zahran
3. Njiwa
4. Cinderela
5. Nakshi Nakshi ft Hakeem 5
6. Sabrina
7. Nichum
8. Mac Muga
9. Wanitesa
10. Namzimia
11. Ni kaka yako
12. Si mzima ft Abby Skills
13. Hufai ft Dully Sykes
14. Msiniseme
15. Single Boy
16. Dushelele
17. Mapenzi yanarun dunia
18. My Everything
19. Far away ft Chidy Benz
20. Raggatone
21. Mali yangu
22. Hadithi ft Mr Mimi
23. Ni yule ft Queen Darleen & Chiddy Benz
24. Mambo yetu yale
25. Miss painapple
26. Yatima
27. Rosa
28. Kimasomaso
29. Ya Karim
30. Msela
 

Thank you sana kwa hii list mkuu umeiweka vizuri sana aisee....Big up kiba
 

Wasisahau Aly Kiba amemtoa huyo Ommy Dimpoz lakini domo mbona ameshafanya muziki na wasanii kadhaa na hatuwaoni kujulikana??Hahaha jamani tuacheni mzaa kiba yupo juu zaidi....
 

Jamani Kiba ni hatari sana hapo hakuna wimbo mbaya hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…