Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mang thaiila aly msiri sana wa mambo yake mi ndo man nampenda sana kila la kheri kaka cha msingi sa hv ufanye kweli!
Ukiachana na huyo NICKI MINAJ
Wasanii wa africa walioitwa ni
REDSUN
BA'PONGA
ERNA CHIMU
KEKO
JAGUAR
NAMELESS
KHULI CHANA
Hivi hawa sasa hv kwanza wangapi wanawajua na wangapi wana hit songs tukiachana na diamond ukizungumzia wasaani wa africa wanaohit sasa hv u must include
DAVIDO
TIWA SAVAGE
IYANYA
DIAMOND
MAFIKIZOLO
P SQUARE
MICASA
Hao wote hawapo kwenye hio show/talent festival
Sasa from here use your common sense

Thank you sana kwa hii list mkuu umeiweka vizuri sana aisee....Big up kiba
Honestly ki muziki kiba ni talent hana nyimbo mbaya halafu sio big G useme itachuja mfano tosha chukua single boy then uweke na my number one,,,single boy bado iko juu!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mkuu watafananisha na wimbo wa Nataka kulewa watu kwa ushabiki hawajambo humu ndani....
na R.KellyHta ali atachart na nick minaji kma isue n kuchart tu