Jamal naeem
Member
- Jan 10, 2014
- 72
- 20
Ali kiba ndio msanii wa ukweli hana majivuno keep it up ally
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up Kiba ila mshikaji hauna shobo kama yule.
Hata diamond Alichaguliwa tuzo za B ET peke yake halaf sasa hiv anachart watsapp na kina Nelly na kariuchi na wenginee teh teh we unaonekana una chuki na domo
Hta ali atachart na nick minaji kma isue n kuchart tu
umeona eeeeh!and the real man should behave km kiba sio wengine mbwembwe pumbaaav!
umeona eeeeh!and the real man should behave km kiba sio wengine mbwembwe pumbaaav!
Hivi nyie mnaomsifia kiba kisa msiri,mnajua kweli biashara ya mziki??mjue buashara ya mziki sio kama biashara ya duka ambayo mahesabu na mali iliyopo ni siri ya mangi mwenye duka!!biashara ya mziki ni kujitangaza kwa mashabiki wengi ili ujulikane.kiba alifulia ndio maana akawa kimya.sasa we husikiki unasema anafanya mambo kimya kimya.ivu kuna show ya kimya kimya zaidi ya yachumbani!!!alaahh wacheni wivu wa kijinga kuponda mafanikio ya watu.anaglien mtonivkama wasanii wao wanaishi kimya.kimya.wanajitangaza hata malii zao na mengine kbao.bih up daimond ali kiba kaza buti umepigwa gape la kutosha.komaa still u can make it
Hata diamond Alichaguliwa tuzo za B ET peke yake halaf sasa hiv anachart watsapp na kina Nelly na kariuchi na wenginee teh teh we unaonekana una chuki na domo
Wazee wa HOLLYWOOD WAKE OF FAME (Hollywood Walk of fame) chalii....
Hapa hatuongelei kujitangaza tunaonhelea mauongo yake na hizo team za kishenzishenzi!sawa kampga gape bas aende huyo mr.misifa kwani kiba kpnd hiko anavima umeshawahi kumsikia na mauongo uongo ya ajabu si hatumpondi mondi hy s tunampongeza kwa alipofikia ila uongo unamshusha hadhi msitetee upuuzi hapa!Hivi nyie mnaomsifia kiba kisa msiri,mnajua kweli biashara ya mziki??mjue buashara ya mziki sio kama biashara ya duka ambayo mahesabu na mali iliyopo ni siri ya mangi mwenye duka!!biashara ya mziki ni kujitangaza kwa mashabiki wengi ili ujulikane.kiba alifulia ndio maana akawa kimya.sasa we husikiki unasema anafanya mambo kimya kimya.ivu kuna show ya kimya kimya zaidi ya yachumbani!!!alaahh wacheni wivu wa kijinga kuponda mafanikio ya watu.anaglien mtonivkama wasanii wao wanaishi kimya.kimya.wanajitangaza hata malii zao na mengine kbao.bih up daimond ali kiba kaza buti umepigwa gape la kutosha.komaa still u can make it
Hapa hatuongelei kujitangaza tunaonhelea mauongo yake na hizo team za kishenzishenzi!sawa kampga gape bas aende huyo mr.misifa kwani kiba kpnd hiko anavima umeshawahi kumsikia na mauongo uongo ya ajabu si hatumpondi mondi hy s tunampongeza kwa alipofikia ila uongo unamshusha hadhi msitetee upuuzi hapa!
Hahaha Dinazarde cheki na hii chezea Diamond wewe hahaha
Nishaiona nikashangaaaa kweliii wabongo kwa kubadili manenoooi